Hivi ni kweli hadi leo NIDA hawana ujuzi wowote wa mtu kuijua namba yake kimtandao?

Piga *152#00# chagua Ajira na utambuzi kisha chagua NIDA halafu fuata maelekezo
Jr[emoji769]
 
Piga *152#00# chagua Ajira na utambuzi kisha chagua NIDA halafu fuata maelekezo

Jr[emoji769]
Hii ndo kabsa hailet hata jib la hatutak. Au sijui inabid uliwe makato had sh ngap ndo uiache, mi zaid ya 1800 nimeshakatwa.
 
Kuna app yao sijui iko loose kias gani had iwe na matangazo ya ads mengi kias kile! Na bado haitoi majib
 
Kuna mahali utakuwa unakosea
Hii ndo kabsa hailet hata jib la hatutak. Au sijui inabid uliwe makato had sh ngap ndo uiache, mi zaid ya 1800 nimeshakatwa.

Jr[emoji769]
 
Hao Madogo Waliopo Hapo NIDA wengi ni volunteer....ndio maana wanafanya kazi kama vile hawataki.
 
Hao Madogo Waliopo Hapo NIDA wengi ni volunteer....ndio maana wanafanya kazi kama vile hawataki.
Kuna ka ukweli. Haizekan akili za IT Tz wakose namna. Had sasa kuna njia lukuki lakin hazisaidii. Hata app iliyowekwa hapo juu inakalia network problem. Kuna app nyingine ndo imegeuzwa dampo la matangazo yote (ads).
 
Yani ni tatizo kubwa sana. Ma Mkwe wangu toka mwezi wa 10 huku Moshi amejiandikisha Tayari lkn kila akiuliza kwenye simu wanasema wanashughulikia mpk leo. Nida ni jipu huku kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio hujui sio NIDA ingia kwnye site yao kwa njia ya mtandao kwa kwa simu kila mtandao wana code ya kupata namba

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…