Jana Ethiopian airlines ya saa 12 jioni ndiyo ndege pekee iliondoka, nyingine zote zilikua cancelledHabari wakuu ,
Poleni na maandamano yanayoendelea
Mimi ninataka kujua kua ni kweli kma watu wanavyopakaza mitandaoni kua hakuna ndege zinazoingia na kutoka tanzania kwa sasa ?
Maana kuna mtu anataka kujua ndo kaniomba nimuulizie
Shukrani sana
Kwenye Radar inaonyesha Rwanda air imefika pia ikitokea KIA na ika-land saa 15:56Duuh, haatari....jamaa anataka kuja na rwandaair anasema hawajatangaza zuia la kutokuja tz kwaiy ndo alitaka afahamu zaid
Yeah Emirates, Fly Dubai, Egypt air na KLM wote wamecancel safari zao.Ndio kuna mtu alikuwa aondoke na KLM na mwingine Emirates leo wameshindwa
Asante kwa maana hio rwandair bado wannaonekana wanafanya safar za bongo...hawajacancel...nitamjuzaYeah Emirates, Fly Dubai, Egypt air na KLM wote wamecancel safari zao.
Je, Ethiopia airline bado inakwenda Dar, mimi niko nje ya nchi nategemea kusafiri jnne tar 4/11/2025 kurudi nchiniHabari wakuu ,
Poleni na maandamano yanayoendelea
Mimi ninataka kujua kua ni kweli kma watu wanavyopakaza mitandaoni kua hakuna ndege zinazoingia na kutoka tanzania kwa sasa ?
Maana kuna mtu anataka kujua ndo kaniomba nimuulizie
Shukrani sana