Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Pombe za mchana mbaya sana.Wasalaam.
Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake?
Hebu sikiliza kwa makini.
Kana kwamba alikuwa nje ya serikali!!Wasalaam.
Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake?
Hebu sikiliza kwa makini.
Hawa ccm kwa kweli aliewaroga alishakufaAisee wakati yeye ndo raisi mda huu na ajapiga ayo marufuku
Inasikitisha sanaNi nini tulimkosea Mungu kutuletea rais wa aina hii hapa Tanzania?wapi tulikosea kama taifa?Taifa zima almost halimtaki lakini Mungu katuletea huyu ni kwanini?Unajua unaeza kufuru mtu?
Hamjaletewa na MunguNi nini tulimkosea Mungu kutuletea rais wa aina hii hapa Tanzania?wapi tulikosea kama taifa?Taifa zima almost halimtaki lakini Mungu katuletea huyu ni kwanini?Unajua unaeza kufuru mtu?
Huenda ni kweli maana inahuzunishaWashauri wake ni kina Mrisho Mpoto na Steve Mengere.
Huenda mwenyezi mungu amewatia upofuKibaya zaidi, anayasoma kwenye karatasi maana yake yamefanyika maandalizi Hadi akaja na bonge la point (less)
Hapo ni kumpigia mbuzi gitaa mwana jamvi, kila kitu siasa. Si jambo jipya na si kweli kwamba hajawahi kulisikia kupitia vyombo vya habari kuwa maiti zunazuiliwa kisa malipo. Tutasikia na kuona mengi ya kustaajabisha na kushangaza kwenye kampeni hizi.Wasalaam.
Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake?
Hebu sikiliza kwa makini.
View attachment 3457337
Msomaji na hao wataalamu/ washauri wote "CHENGA" ...labda ndio maana nchi inazidi kuporomokaKibaya zaidi, anayasoma kwenye karatasi maana yake yamefanyika maandalizi Hadi akaja na bonge la point (less)
Saa 100 Vs Mwajuma Vs Salum khaasWasalaam.
Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake?
Hebu sikiliza kwa makini.
View attachment 3457337
Nilisikiliza mama anaongea hivi aibu nikaona mimi. Yaani hili nalo linakuwaje katika ahadi za kampeni? ni kutuona makenge tu.Wasalaam.