CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
K Vant zinampeleka resi sana mazaInawezekana alikuwa tungi
K Vant zinampeleka resi sana mazaInawezekana alikuwa tungi
Tulimkosea kwa kumsimanga magufuli alipokuwa madarakani na kumuombea kifoNi nini tulimkosea Mungu kutuletea rais wa aina hii hapa Tanzania?wapi tulikosea kama taifa?Taifa zima almost halimtaki lakini Mungu katuletea huyu ni kwanini?Unajua unaeza kufuru mtu?
Atakuwa anapiga visunguraK Vant zinampeleka resi sana maza
Na huu nao ni ubuifu mkuuWasalaam.
Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake?
Hebu sikiliza kwa makini.
View attachment 3457337
Mada mbili tofauti. Acha kuchanganya mamboTulimkosea kwa kumsimanga magufuli alipokuwa madarakani na kumuombea kifo
bajeti ilikuwa hairuhusuAisee wakati yeye ndo raisi mda huu na ajapiga ayo marufuku
Ccm mbele kwa mbeleHapo ni kumpigia mbuzi gitaa mwana jamvi, kila kitu siasa. Si jambo jipya na si kweli kwamba hajawahi kulisikia kupitia vyombo vya habari kuwa maiti zunazuiliwa kisa malipo. Tutasikia na kuona mengi ya kustaajabisha na kushangaza kwenye kampeni hizi.
Wacha weeee!?Kwani anabugia kojo la hayawani?Inawezekana alikuwa tungi
Ahmada aswaaaWacha weeee!?Kwani anabugia kojo la hayawani?
Kama haidhuru,inapelekwa pwani tu.Ahmada aswaaa
Hivi vitu vya kitoto kabisa anaongea,yaani mgombea urais kweli anakuja kutuambia vitu rahisi namna hii?aibu sanaWasalaam.
Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake?
Hebu sikiliza kwa makini.
View attachment 3457337
Waache tu watoe hisia zao wasije kufa kwa stress!Mama ameshakuwa Rais hadi 2030 hayo mambo mengine unapoteza Muda.
Ila imefanya jana kutambua hospital zipo chini yake zinazuia maiti hadi zilipe deni, kwaiyo kwake kutumia nzuri au mbaya?Kama haidhuru,inapelekwa pwani tu.
Tulipata mtu wa dhamani lakini tukaishia kumlaumu na hatimae kumsaliti mzee wa watu mwishoe akaenda zake....Ni nini tulimkosea Mungu kutuletea rais wa aina hii hapa Tanzania?wapi tulikosea kama taifa?Taifa zima almost halimtaki lakini Mungu katuletea huyu ni kwanini?Unajua unaeza kufuru mtu?
Hapo ndio ujue tunaongozwa na watu wa hovyo, waliochoka, hawana, mpango wa maana, ni, Bora liende tu, ccm sasa hv ni kutumia mabavu, pesa, kubaki ikulu,Wasalaam.
Hii sera kuhusu maiti kuzuiliwa nayo ni ahadi ya ccm kuelejea uchaguzi mkuu? Yaani wakishinda watapiga marufuku maiti kuzuiliwa swali je nani aliweka sera hii? Ina maana sio ccm na serikali yake?
Hebu sikiliza kwa makini.
View attachment 3457337
Kwani anagongaK Vant zinampeleka resi sana maza
Duh uko nchi gani wewe? Anagonga fresh tu na fegi juu.Kwani anagonga
Hii issue nilisikia Jana alafu majitu yanavyoshangilia kama mazuzu unabaki umeduwaa yaani!!Wasalaam.