Mi sio mtaalam wa masuala ya siasa na wala sio mchambuzi wa siasa ila kwa akili yangu ndogo naona km vitu ving dunian hufanyika kwa masrai flan interest za watu flani
Sio kwamba wahasi wa M23 hawajulikan walipo jibu ni ka serikal ya congo inajua walipo ila sasa ikiwamaliza je watafanya nn je watapataje misaada km watakua wamewamaliza m23
Sio kwamba alquida serikal ya marekan haijui walipo, ukwel ni kwamba inajua walipo na makao makuu yao yako quatar ila kwa maslai yao binafsi hawana nia ya kuwaliza.
So ata hao Hamasi sio kwamba serikal ya israel haijui walipo na haina njia ya kujua walipo ila ukwel ninkwamba wanajua walipo na wakiamua kuwamaliza inawezekana ila sasa wakiwauwa na kuwamaliza je mpango wao wa kuitawala palestina yote utatimia,
Ata leo hii marekan na Russia sio maadui ila ni mbinu zao wawili za kutawala na kuuza silaha dunian ndo maana wanajifanya maadui ila wauze silaha dunian, leo hii taifa lolote likitaji siraha ni
Mataifa mawili ndo kwanza yatafikiliwa marekan au russia ikishindikana ndo nchi itawawaza china na turkey
So vitu ving dunian hufanyika kwa interest maslai ya watu au mataifa flan.
Sio kwamba serikal ya 🇳🇬 haijui boko haram walipo inajua vizuri ila ni mpango wao na boko haram ni watu wao na wanayofanya wanafanya kwa maslai ya serikal ya nigeria ni bas tu