DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
uliona wakati wanamuua mtanzania ile video tuanze hapo
Sijaona, ila kuna video ilipostiwa hakua molel, na haijulikani ni nchi gani hiyo, na haina ukweli wowote kama sio editing! Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uliona wakati wanamuua mtanzania ile video tuanze hapo
Kwani Wapalestina si watoto wa Mungu? walijiumba?Hata wangefanya maovu kiasi gani Mungu yuko upande wao!
Hata wangekuwa mashoga hilo halibatilishi kusudi la Mungu kuwalinda na kuwapigania katika ardhi yao aliyowapa baba zao Ibrahimu,Isaka na Yakobo!
Hamas wawavai magwanda wapo kiraia.. hawatembei na silaha..sababu satellite za israel zina detect kila silaha ikibebwa na ikitembezwa wao silaha zipo majumbani ukipishana na raia akaingia ndani ya nyumba basi akichungulia nje tayari kabeba silaha.. and Egypt anapenyeza bado silaha ndio maana Israel kachukua Raffah kakuta mahanadi 50 yanaelekea Sinai.. Egypt ni chui mwenye ngozi ya kondoo..
Idf akiua gaidi Aljazeera anareport ni raia mams na watoto kila kichapo issue kwa taarifa zao hadi idadi ya watoto wote wa Gaza kitakwimu ikapitiliza
Huwezi kuweka suluhu na magaidi ambao nia yao ni kuwamaliza wayahudiVita huwa haileti suluhu! Hapo kinachotakiwa ni pande zote kusitisha mapigano na kuja kwenye meza ya mazungumzo!