Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

Wengi wa machangu wanachafua vyuo vikuu vinaonekana wanafunzi wanajiuza kumbe si kweli, sasa ukimuuliza hvo atashindwa kujibu. So hyo ya wanafunzi kujiuza asilimia ni chache sana

Huo uwongo mimi napigaga nao story kabisa katikati ya gemu muda wa mapumziko mimi nimesoma chuo kuna maswali unamuuliza mtu unajua kabisa huyu yuko mwaka wa pili.
 

Kuhusu pryanka chopra una uhakika mkuu? Unajua huyu ni former miss world na yuko hollywood kwenye role nyingi na ameolewa na yule dogo muimbaji wa marekani nick jonas wa jonas brothers[emoji16][emoji16] kama unavideo yake ya x nitumie pm[emoji28]
 
Saa ngapi unaijenga nchi yako naona kama muda mwingi unautumia kuwaza nyuchi za kinamama.Umo kichwani umejaza taswira za nyuchi za kina dada za kila namna

Kwani kujenga nchi kunakwamishwa na kuwaza nyuchi , mimi nimshajenga kwa uwezo wangu sasa hutaki nisambaze upendo?
 
Nafikiri hiyo mitandao inawafaa zaidi mademu kwa sababu hawana ujasiri wa kumfuata mwanaume, lakini kwa asilimia kubwa mwanaume ana ujasiri wa kumfuata demu aliyemtaka. Nilichogundua mitandao inatumika sana majuu kuanzisha mahusiano, simply because wanaume wana-avoid kupewa kesi za unyanyasaji wa kijinsia endapo atamfuata demu ambaye hakumridhia, maana sheria zinazowalinda wanawake ni kali sana na zinawafanya mademu wa kizungu kuwa watata sana..
 
Huo uwongo mimi napigaga nao story kabisa katikati ya gemu muda wa mapumziko mimi nimesoma chuo kuna maswali unamuuliza mtu unajua kabisa huyu yuko mwaka wa pili.
Wewe mimi nimekaa nao hostel asilimia kubwa sio wanachuo, na mtu anaweza kupiga story kwa vile hukaa mule hostel mabibo kwanini asijue tena wengine huenda Hadi udsm mle na kupiga picha wewe ka unashobokea wanachuo itakula kwako
 

HUJUI KUWA MWANACHUO NI SIFA YA ZIADA KWA UKAHABA WA KISASA? ANAKUJA NA ILE ENGLISH YAKE YA YAP, OFFCOURSE
 
Sure,hii dunia bana..unaweza ukawa unaishi maisha fulani ukawa kwenye kaulimwengu kako kabisa ukashindwa kujua ulimwengu mwingine unaendaje
Ni kweli kabisa kwa sababu hao wanachuo hawavai unifomu , ukiwaona mtaani ni kama wadada wengine tu na ukiwa chuo wewe umelala ,unajisomea utajuaje kuwa wanachuo wezako wametoka wameenda mjini ,
 
Kali mkuu
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko tinder na badoo nawapataj mkuu
 
Acha ufala wewe.
Madem wengi wanatumia brand ya chuo kama gia ya kujimwambafy. Muulize maswali mambo ya chuo hata kozi tu wengine hawazijui. Off course kuna wanachuo pia. Kuhusu wanaume wa chuoni kuteseka lazima wateseke kama hawana hela. kuwala mademu wakali lazima uwe na hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…