JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
- #101
Wengi wa machangu wanachafua vyuo vikuu vinaonekana wanafunzi wanajiuza kumbe si kweli, sasa ukimuuliza hvo atashindwa kujibu. So hyo ya wanafunzi kujiuza asilimia ni chache sana
Huo uwongo mimi napigaga nao story kabisa katikati ya gemu muda wa mapumziko mimi nimesoma chuo kuna maswali unamuuliza mtu unajua kabisa huyu yuko mwaka wa pili.