cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
[emoji23][emoji23]True washajua wateja wao wanapenda watoto wa chuo. Kuna mmoja tulikutana nae Morogoro akasema anasoma chuo Mzumbe kumuuliza anasoma course gani akajibu "Nasoma Arts"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]True washajua wateja wao wanapenda watoto wa chuo. Kuna mmoja tulikutana nae Morogoro akasema anasoma chuo Mzumbe kumuuliza anasoma course gani akajibu "Nasoma Arts"
Jiwe hatobo mwaka huu, Mh Lissu ndiye Rais ajayeNi waongo kabisa, tena waongo, hakuna binti wa chuo anaweza kujiuza. Just cheki background za wasichana wengi wanaofika chuo, kwanza wamekulia mazingira fulani yasiyoruhusu kuuza miili yao, wengi wao wanatoka familia zinazojiheshimu, kama siyo dini basi kunakuwa na status fulani. Huu mtindo umeibuka sana karibuni baada ya kuona wanaume wanapena msichana mwenye msimamo na pia ni rahisi sana kuomba hela kwa kisingizio photocopy, boom limeisha nataka kula chipsi, laptop ninunulie, natengeneza nywele nina presentation, lecture anataka tuhonge hela ili nifaulu maana wewe ulikuwa unaniweka sana kimapenzi etc, kwa ufupi changudoa siku hizi ndiyo mtindo wao, na wengine wameenda mbali zaidi wanahudhuria mpaka vipindi japo ajue abc au anaweka appointment ya kuchukuliwa chuoni ili aonekane mwanachuo, wengine wana save mpaka namba za wanaume wengine kama Dr Fulani au ku act kama kapigiwa na mwanafunzi mwenzie ili kumlaghai mwanaume husika, kwa ufupi wanaume mmelizwa sana kwa huu ujinga wenu kama wa kumshabikia puppet a.k.a kibaraka lisu
Umenichekesha mkuu, ahahaha sasa hilo swali unaliuliza uliza vp au katika situation gani? Hahaahah eti what is DS? Au unauliza DS maana yake ni nini?Wengi hao ni machangudoa Ila hudaganya wanaume wawachune vizuri, wengine hununua Hadi Room mabibo ili wawadaganye wanaume wanaopenda kusikia kuhusu chuo, ukitaka kujua ni wanafunzi waulize development studies ni nini Kama watakujibu
Kwani ukizioona nanii zao huwa zina degree! Au zimesoma au ni za kawaida wa shule za msingiSiku hizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, UDSM, IFM, SAUTI n.k. Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.
Huwa najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.
Halafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.
Kabisa mkuuHaswaa.. wapo wengi ila kuwastukia ni ngumu.
Ila pia nilichogundua kwa wale wanaofanya hii kazi kwa umakini, aisee by the time anamaliza chuo unakuta mdada yuko vizuri wengine wana biashara zao kabisa kama maduka ya nguo, migahawa, saluni nk pia wengi wana usafiri binafsi na wanaishi nyumba za maana.
Wengi wa machangu wanachafua vyuo vikuu vinaonekana wanafunzi wanajiuza kumbe si kweli, sasa ukimuuliza hvo atashindwa kujibu. So hyo ya wanafunzi kujiuza asilimia ni chache sanaUmenichekesha mkuu, ahahaha sasa hilo swali unaliuliza uliza vp au katika situation gani? Hahaahah eti what is DS? Au unauliza DS maana yake ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sasa za mtandaon si ndo hizo hizo ziko mtaanNimegusa penyewe Yani, kakosa wateja mtaani mpk kuingia mtandaoni maana yake unachukua vilivyododa
Tofautisha kudanga na kujiuza...vyote ni umalaya lakini kujiuza ni more official anajipanga na kusimamisha "kaka njoo tuka+0m8ane"...Au yuko Badoo anauza mk#*du....Hiyo ndo tunaongelea apaWachangiaji huu uzi asilimia kubwa mumeniangusha sana. Hasa wanaume. .
Yaani mnaakili kweli??! Eti mnakaa kabisa kutetea wadangaji hawawez kua wanachuo. Comoooon men. What's so special about chuo?? Tell me.
Kudanga ni tamaaa tu. Unataka pesa ya ziada baasi. Na mtu yoyote awe wa chuo awe mke wako anaweza kudanga.
Tena ukitaka kujua wanafunz wachuo wanadanga weka urafik na madereva taxi na uber. Utapewa number bila shida za wanachuo.
Eti wanafunz wachuo hawadangi.
Vyuo vyenyewe ndio huu utitir wa degree za chupi.
Mimi kuna mshikaji kipindi nilitaka number ya watoto wachuo yeye ni Uber anapaki maeneo ya chuo kabisa. Ananiuliza unataka number ya bonge English figure fupi au tukununyema.
😂😂Umenkumbusha mbal kpndi naenda jesh Rwamkoma mara nmepga zangu upara natoka mwanza...sasa kwenye basi nlkuw nmekaa na mtoto mmoja mkali kinoma..type za tunda ila anaonekana zero brainWengi wa machangu wanachafua vyuo vikuu vinaonekana wanafunzi wanajiuza kumbe si kweli, sasa ukimuuliza hvo atashindwa kujibu. So hyo ya wanafunzi kujiuza asilimia ni chache sana
Hata wa chuo anaweza akafanya mnavyosema. Tena mleta mada kataja tinder ndio hiyo hiyo Badoo.Tofautisha kudanga na kujiuza...vyote ni umalaya lakini kujiuza ni more official anajipanga na kusimamisha "kaka njoo tuka+0m8ane"...Au yuko Badoo anauza mk#*du....Hiyo ndo tunaongelea apa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo maswali yalikuwa magumu mno[emoji23][emoji23]Umenkumbusha mbal kpndi naenda jesh Rwamkoma mara nmepga zangu upara natoka mwanza...sasa kwenye basi nlkuw nmekaa na mtoto mmoja mkali kinoma..type za tunda ila anaonekana zero brain
kwenye stori stori nkamuuliza anaish wap
Yeye:Nasoma Chuo huko Musoma..Chuo cha ustawi wa jamii
Mimi:Ooh So mlkuwa mmefunga ndo mnafungua au?
Yeye:Hamna nlimuomba monta ruhusa tu nkaja Mwanza kulkuwa na dharura
Mimi:Aah na chuo unasoma kozi gan?
Yeye:Nasoma ile kombi ngumu kuliko zote
Mimi😛etroleum au udaktari?
Yeye:Hiyo ya kwanza
Mimi:Alright, so mko wengi chuo au?
Yeye:Yeah kuna mikondo mingi sana,sasa maji huwa ya shida kwahyo vile vidato vya chini huwa wanaonewa na vidato vya juu kwenye kufata maji.
At that moment I realized I was talkn to a Lunatic
Hapo kwa pryanka nakataaKusema ya kuwa mwanamke/msichana anayesoma chuo hawezi kujiuza mi nakataa....Tukiachana na mtizamo huo...kujiuza kwa mwanamke kunabakia kuwa ni hulka na tabia yake binafsi....Wanawake wangapi wana kazi za kuwapatia kipato lkn wanajiuza ama wanaigiza picha za ngono.
Mfano m'dada Pryanka Chopra ni mwanamke mzuri lakini pia ni muigizaji wa filamu za kihindi ila leo hii yeye ni muigizaji wa filamu za Ngono.
Kwa upande wangu,wapo wanachuo wenye kufanya kila aina ya starehe hata hiyo biashara ya kujiuza kwa baadhi yao wanaifanya ila kwa kificho na umakini wa hali ya juu.Tsiwakatalie kwenye hilo kwa kuwaamini kuwa wao kutokana na usomi wao pamoja na mazingira waliyotokea basi hawawezi fanya uharamu huo...ilihali hao hao wasomi wetu tulionao kutokana na elimu zao wanafanya mambo ya ajabu kushinda hata yule aliyeishia kidato cha nne