Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

True washajua wateja wao wanapenda watoto wa chuo. Kuna mmoja tulikutana nae Morogoro akasema anasoma chuo Mzumbe kumuuliza anasoma course gani akajibu "Nasoma Arts"
[emoji23][emoji23]
 
Ni waongo kabisa, tena waongo, hakuna binti wa chuo anaweza kujiuza. Just cheki background za wasichana wengi wanaofika chuo, kwanza wamekulia mazingira fulani yasiyoruhusu kuuza miili yao, wengi wao wanatoka familia zinazojiheshimu, kama siyo dini basi kunakuwa na status fulani. Huu mtindo umeibuka sana karibuni baada ya kuona wanaume wanapena msichana mwenye msimamo na pia ni rahisi sana kuomba hela kwa kisingizio photocopy, boom limeisha nataka kula chipsi, laptop ninunulie, natengeneza nywele nina presentation, lecture anataka tuhonge hela ili nifaulu maana wewe ulikuwa unaniweka sana kimapenzi etc, kwa ufupi changudoa siku hizi ndiyo mtindo wao, na wengine wameenda mbali zaidi wanahudhuria mpaka vipindi japo ajue abc au anaweka appointment ya kuchukuliwa chuoni ili aonekane mwanachuo, wengine wana save mpaka namba za wanaume wengine kama Dr Fulani au ku act kama kapigiwa na mwanafunzi mwenzie ili kumlaghai mwanaume husika, kwa ufupi wanaume mmelizwa sana kwa huu ujinga wenu kama wa kumshabikia puppet a.k.a kibaraka lisu
Jiwe hatobo mwaka huu, Mh Lissu ndiye Rais ajaye

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wanachuo hawaendagi kujiuza ila wanaenda club sasa huko club wanakutana na vijana wenye sound,wanaojua kucheza kwa madoido kifupi wankutana na majokeri ya club sasa wanadangwanya dangwanya mwisho wa siku wagongwa ..

Sasa kwakuwa mwanaume akikupata club uwaga anakuwa na mtazamo huyu ni malaya tu plus vizinga vya wadada wa chuo hence wanachuo wanajiuza...

Mhuni kadanganya ana duka la nguo sinza lkn unakuta unga unga tu kapata pisi ya chuo club unadhan atasemaje???
 
Wengi hao ni machangudoa Ila hudaganya wanaume wawachune vizuri, wengine hununua Hadi Room mabibo ili wawadaganye wanaume wanaopenda kusikia kuhusu chuo, ukitaka kujua ni wanafunzi waulize development studies ni nini Kama watakujibu
Umenichekesha mkuu, ahahaha sasa hilo swali unaliuliza uliza vp au katika situation gani? Hahaahah eti what is DS? Au unauliza DS maana yake ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wachangiaji huu uzi asilimia kubwa mumeniangusha sana. Hasa wanaume. .
Yaani mnaakili kweli??! Eti mnakaa kabisa kutetea wadangaji hawawez kua wanachuo. Comoooon men. What's so special about chuo?? Tell me.
Kudanga ni tamaaa tu. Unataka pesa ya ziada baasi. Na mtu yoyote awe wa chuo awe mke wako anaweza kudanga.
Tena ukitaka kujua wanafunz wachuo wanadanga weka urafik na madereva taxi na uber. Utapewa number bila shida za wanachuo.
Eti wanafunz wachuo hawadangi.
Vyuo vyenyewe ndio huu utitir wa degree za chupi.
Mimi kuna mshikaji kipindi nilitaka number ya watoto wachuo yeye ni Uber anapaki maeneo ya chuo kabisa. Ananiuliza unataka number ya bonge English figure fupi au tukununyema.
 
Siku hizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, UDSM, IFM, SAUTI n.k. Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.

Huwa najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.

Halafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.
Kwani ukizioona nanii zao huwa zina degree! Au zimesoma au ni za kawaida wa shule za msingi
 
Haswaa.. wapo wengi ila kuwastukia ni ngumu.
Ila pia nilichogundua kwa wale wanaofanya hii kazi kwa umakini, aisee by the time anamaliza chuo unakuta mdada yuko vizuri wengine wana biashara zao kabisa kama maduka ya nguo, migahawa, saluni nk pia wengi wana usafiri binafsi na wanaishi nyumba za maana.
Kabisa mkuu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Umenichekesha mkuu, ahahaha sasa hilo swali unaliuliza uliza vp au katika situation gani? Hahaahah eti what is DS? Au unauliza DS maana yake ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wengi wa machangu wanachafua vyuo vikuu vinaonekana wanafunzi wanajiuza kumbe si kweli, sasa ukimuuliza hvo atashindwa kujibu. So hyo ya wanafunzi kujiuza asilimia ni chache sana
 
Hata huko Facebook kila mtu huwa amesoma University.[emoji1787][emoji23]
 
Nimegusa penyewe Yani, kakosa wateja mtaani mpk kuingia mtandaoni maana yake unachukua vilivyododa
Sasa za mtandaon si ndo hizo hizo ziko mtaan
..Au kuna dunia yao tofaut wanaishi wa mtandaon?
 
Wachangiaji huu uzi asilimia kubwa mumeniangusha sana. Hasa wanaume. .
Yaani mnaakili kweli??! Eti mnakaa kabisa kutetea wadangaji hawawez kua wanachuo. Comoooon men. What's so special about chuo?? Tell me.
Kudanga ni tamaaa tu. Unataka pesa ya ziada baasi. Na mtu yoyote awe wa chuo awe mke wako anaweza kudanga.
Tena ukitaka kujua wanafunz wachuo wanadanga weka urafik na madereva taxi na uber. Utapewa number bila shida za wanachuo.
Eti wanafunz wachuo hawadangi.
Vyuo vyenyewe ndio huu utitir wa degree za chupi.
Mimi kuna mshikaji kipindi nilitaka number ya watoto wachuo yeye ni Uber anapaki maeneo ya chuo kabisa. Ananiuliza unataka number ya bonge English figure fupi au tukununyema.
Tofautisha kudanga na kujiuza...vyote ni umalaya lakini kujiuza ni more official anajipanga na kusimamisha "kaka njoo tuka+0m8ane"...Au yuko Badoo anauza mk#*du....Hiyo ndo tunaongelea apa
 
Wengi wa machangu wanachafua vyuo vikuu vinaonekana wanafunzi wanajiuza kumbe si kweli, sasa ukimuuliza hvo atashindwa kujibu. So hyo ya wanafunzi kujiuza asilimia ni chache sana
😂😂Umenkumbusha mbal kpndi naenda jesh Rwamkoma mara nmepga zangu upara natoka mwanza...sasa kwenye basi nlkuw nmekaa na mtoto mmoja mkali kinoma..type za tunda ila anaonekana zero brain
kwenye stori stori nkamuuliza anaish wap
Yeye:Nasoma Chuo huko Musoma..Chuo cha ustawi wa jamii
Mimi:Ooh So mlkuwa mmefunga ndo mnafungua au?
Yeye:Hamna nlimuomba monta ruhusa tu nkaja Mwanza kulkuwa na dharura
Mimi:Aah na chuo unasoma kozi gan?
Yeye:Nasoma ile kombi ngumu kuliko zote
Mimi😛etroleum au udaktari?
Yeye:Hiyo ya kwanza
Mimi:Alright, so mko wengi chuo au?
Yeye:Yeah kuna mikondo mingi sana,sasa maji huwa ya shida kwahyo vile vidato vya chini huwa wanaonewa na vidato vya juu kwenye kufata maji.

At that moment I realized I was talkn to a Lunatic
 
Kusema ya kuwa mwanamke/msichana anayesoma chuo hawezi kujiuza mi nakataa....Tukiachana na mtizamo huo...kujiuza kwa mwanamke kunabakia kuwa ni hulka na tabia yake binafsi....Wanawake wangapi wana kazi za kuwapatia kipato lkn wanajiuza ama wanaigiza picha za ngono.
Mfano m'dada Pryanka Chopra ni mwanamke mzuri lakini pia ni muigizaji wa filamu za kihindi ila leo hii yeye ni muigizaji wa filamu za Ngono.

Kwa upande wangu,wapo wanachuo wenye kufanya kila aina ya starehe hata hiyo biashara ya kujiuza kwa baadhi yao wanaifanya ila kwa kificho na umakini wa hali ya juu.Tsiwakatalie kwenye hilo kwa kuwaamini kuwa wao kutokana na usomi wao pamoja na mazingira waliyotokea basi hawawezi fanya uharamu huo...ilihali hao hao wasomi wetu tulionao kutokana na elimu zao wanafanya mambo ya ajabu kushinda hata yule aliyeishia kidato cha nne
 
Tofautisha kudanga na kujiuza...vyote ni umalaya lakini kujiuza ni more official anajipanga na kusimamisha "kaka njoo tuka+0m8ane"...Au yuko Badoo anauza mk#*du....Hiyo ndo tunaongelea apa
Hata wa chuo anaweza akafanya mnavyosema. Tena mleta mada kataja tinder ndio hiyo hiyo Badoo.
Mtu anaweka picha ambayo sio yake. Ukikutana nae kumbe ni mwanachuo.

Ninachoshangaa hapa ni kua wanachuo eti hawajiuzi.
Kweli mimi nakataa kata kata ile kujiuza ya kusimama street kama kule posta mteja akija wanamgombania ile sawa haiwezi kuwa coz si watainekana maana wale niwatu wa chuo. Wao wanatumia mitandao tu haina haja ya manual method ile. Wote hao wa street na wamitandao ni kitu kimoja.
Na mleta mada kagusa tinder amabo ni mtandao.
Na wanaume wa Dar wamenishangaza eti tinder hawawezi wakawa wanachuo.
Wakati mi tinder niko na demu anasoma chuo na mara ya kwanza nimeconnect nae hataki kuonana na mimi mpaka nimtajie nitampa how much ??? Sasa huyu anatofauti gani na yule wa kusimama street kule jolly pub.
Tena na kuna mwanachuo mwingine tinder alikua anataka laki moja nikamuambia poa usijali. Akaja nikapiga show KMMK nikasema ngoja nikachukue msosi nikamuacha room siku rudi. Sema kilichoniuma goli moja tu. Ningepiga kwanza kama tatu halafu ndio ningetimua. Wahudumu wa lodge nikawaambia demu mzinguaji namuacha akiniulizia muambieni hamjui nilipo.
 
Mkuu we mkielewana bei piga mikasi, hayo ya chuo waachie wenyewe..
 
Saa ngapi unaijenga nchi yako naona kama muda mwingi unautumia kuwaza nyuchi za kinamama.Umo kichwani umejaza taswira za nyuchi za kina dada za kila namna
 
[emoji23][emoji23]Umenkumbusha mbal kpndi naenda jesh Rwamkoma mara nmepga zangu upara natoka mwanza...sasa kwenye basi nlkuw nmekaa na mtoto mmoja mkali kinoma..type za tunda ila anaonekana zero brain
kwenye stori stori nkamuuliza anaish wap
Yeye:Nasoma Chuo huko Musoma..Chuo cha ustawi wa jamii
Mimi:Ooh So mlkuwa mmefunga ndo mnafungua au?
Yeye:Hamna nlimuomba monta ruhusa tu nkaja Mwanza kulkuwa na dharura
Mimi:Aah na chuo unasoma kozi gan?
Yeye:Nasoma ile kombi ngumu kuliko zote
Mimi😛etroleum au udaktari?
Yeye:Hiyo ya kwanza
Mimi:Alright, so mko wengi chuo au?
Yeye:Yeah kuna mikondo mingi sana,sasa maji huwa ya shida kwahyo vile vidato vya chini huwa wanaonewa na vidato vya juu kwenye kufata maji.

At that moment I realized I was talkn to a Lunatic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo maswali yalikuwa magumu mno
 
Kusema ya kuwa mwanamke/msichana anayesoma chuo hawezi kujiuza mi nakataa....Tukiachana na mtizamo huo...kujiuza kwa mwanamke kunabakia kuwa ni hulka na tabia yake binafsi....Wanawake wangapi wana kazi za kuwapatia kipato lkn wanajiuza ama wanaigiza picha za ngono.
Mfano m'dada Pryanka Chopra ni mwanamke mzuri lakini pia ni muigizaji wa filamu za kihindi ila leo hii yeye ni muigizaji wa filamu za Ngono.

Kwa upande wangu,wapo wanachuo wenye kufanya kila aina ya starehe hata hiyo biashara ya kujiuza kwa baadhi yao wanaifanya ila kwa kificho na umakini wa hali ya juu.Tsiwakatalie kwenye hilo kwa kuwaamini kuwa wao kutokana na usomi wao pamoja na mazingira waliyotokea basi hawawezi fanya uharamu huo...ilihali hao hao wasomi wetu tulionao kutokana na elimu zao wanafanya mambo ya ajabu kushinda hata yule aliyeishia kidato cha nne
Hapo kwa pryanka nakataa
 
Back
Top Bottom