Hivi ni kweli huyo mchumba, mume au mke ulonaye sasa hivi mlikutana humu JF?

hongereni sana aise, inatia moyo sana kwa wapambanaji kutokukata tamaa, kumbe inawezekana πŸ’

ni muhimu kung'ang'ana apo apo kwa uangalifu, ili kuepuka kutishia afya na uhai wa mahusianao yenu πŸ’
Wenye mwanzo humu tupo wengi tuna mtoa mada sema Ndoivo wengine hawapendi mbambambaa kwa usalama wa afya za mahusiano yao
 
Na soon tutatimiza anniversary ya 10yrs, sio ya kuchapana....ya ndoa mkuu!

I'll have to write smth here on our anniversary, wengine Max jatuwezesha kuandika historia zetu za maisha kupitia jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…