Hivi ni kweli huyo mchumba, mume au mke ulonaye sasa hivi mlikutana humu JF?

mi mamsapu wangu nimempata huko kunako Instagram, na kilichotukutanisha mambo ya mipira. wote tunapenda Yanga hatari.

kwa humu JF walichonifanyia wanawake wa humu sina hamu nao na sitaki tena mwanamke humu, mtanisamehe kwa hili dada zangu.

niliyemwonea huruma alitaka kunidhuru na nillyemwona ana akili akaniona mimi zezeta.

SITAKI TENA MWANAMKE HUMU NDANI, MAMSAPU WANGU ANATOSHA.
 
Kama ulisuuza rungu sio mbaya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…