Hivi ni kweli huyo mchumba, mume au mke ulonaye sasa hivi mlikutana humu JF?

Mwanamke hata mkutane Church utapigwa tukio tu.
Hii michangudoa ina mapenzi kweli ya dhati.
Mtu anakwambia nipe dk sifuri tu.
Ukimruhusu dk 30-40 karudi na mazaga yote.
Wanakwaya hawa wake zenu nishawafumua hukohuko kanisani hawana lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…