Hivi ni kweli kabisa? Kwa miaka zaidi ya Ishirini, Chadema hamkujua Mbowe ni Tapeli wa kiaiasa?

Hivi ni kweli kabisa? Kwa miaka zaidi ya Ishirini, Chadema hamkujua Mbowe ni Tapeli wa kiaiasa?

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Katika mambo ambayo Chadema mliferi na kusababisha safari yenu kuelekea Ikulu kuwa ngumu, ni kukaa miaka na miaka na mtu ndumila kuwili

Mtu huyo, badala ya kung'amua mapema nyendo zake kisha kumtimua, bahati mbaya kabisa, yeye aliwasoma nyinyi nyote


Mbowe anawajua wote wenye misimamo mikali na mapoyoyo pia anawajua

Na ndiyo maana baada ya kumaliza misheni zake, mapoyoyo wote akahakikisha wanahama chama haraka uwezekanavyo, kwa tarifa yenu, wengine wengi bado mnao, watajitoa soon

Wale ngangali, anacheza nanyi kwa ukaribu zaidi huku akishirikiana na watumaji wake kuhakikisha hamuwezi kufikia malengo yenu

Chadema, jitahidini sana Idara ya intelejensia inaimarika haraka iwezekanavyo, vinginevyo mtacheza pata potea!
CCM = Dola, inahitaji kujitia, kucheza vizuri kiakili ili kuwaondoa
 
Ilikuwa ni ngumu sana kujua kama Mbowe ni tapeli.
 
Back
Top Bottom