Hivi ni kweli kabla ya hii mipaka ya kisiasa, Moshi ilikuwa Kenya na Mombasa ilikuwa Tanzania?

Hata kilomita kumi za ukanda mzima wa pwani ya Tanganyika ni mali ya Zanzibar, arafu Zanzibar sio Tanzania, ila Tanzania ni Zanzibar na Tanganyika,mnawapotosha wajukuu.
Ahsante kwa elimu!
 
Bora ingekuwa tuu hivyo.. wachaga wandering Kenya sisi tupewe watoto wa kimombasa
 
Kwa anayejua Tafadhali kabla ya ile zana ya Kijermani na Kiingereza hali ilikuwaje.

Nimesoma mahali kuwa hata baba yake Obama siyo mkenya ni mtanzania ndio maana Obama alifika hadi Tarime kwa akina Heche kuwasalimia.

Nasubiri majawabu!

Maendeleo hayana vya

Maendeleo hayana vyama.
Unashangaa Hilo TU,hata phiraun wa mapiramid Egypt alitokea Rowezeri Rwanda.
 
Kabla ya ukoloni nchi iliyokuwepo ni Zanzibar pekee, na Mombasa ilikuwa sehemu ya Zanzibar, so ni kweli Mombasa ilikuwa sehemu ya Tanzania kwa sababu Zanzibar ni Tanzania kwa sasa
Hata sehemu ya Dar es salaam ilikuwa ni part ya Zanzibar ....!!
 
Kwa anayejua Tafadhali kabla ya ile mikataba ya Kijermani na Kiingereza hali ilikuwaje.

Nimesoma mahali kuwa hata baba yake Obama siyo mkenya ni mtanzania ndio maana Obama alifika hadi Tarime kwa akina Heche kuwasalimia.

Nasubiri majawabu!

Maendeleo hayana vyama.
Haitakusaidia kitu
 
Ni kweli hata Waziri Kabudi aliwahi kuongelea hilo swala.
" Kilimanjaro is in Tanzania because Mombasa is in Kenya"
Mbadilishano tu ulifanyika hapo
 
Kabla ya ukoloni nchi iliyokuwepo ni Zanzibar pekee, na Mombasa ilikuwa sehemu ya Zanzibar, so ni kweli Mombasa ilikuwa sehemu ya Tanzania kwa sababu Zanzibar ni Tanzania kwa sasa
Kabla ya ukoloni, mtawala wa Z'bar ambae ni Sultani alitawala visiwani na mwambao wa Dar, Kilwa, Tanga mpaka Mombasa. Ndio maana cultural setup ya Mombasa na namna wanazungumza ni kama Tanga au Zbar.

Tanganyika na Kenya zilikuwepo ila bila shaka hazikuwa na mipaka maalumu na mwingiliano wa watu ulikuwepo.

Ujio wa ukoloni ulizaa Deutche East Africa ambayo ilikuwa ardhi yote ya Tanganyika, Rwanda na Burundi na Kenya ilikuwa sehemu ya British East Africa nchi zingine zikiwa Kenya na Uganda.
Muingireza ambae alikuwa mkoloni wa Kenya ndie aliekuwa mkoloni wa Zbar.
Baada ya vita ya pili ya dunia ndipo Germany east africa iligawanywa na kuzaa Tanganyika, Rwanda na Burundi. Tanganyika ikawa chini ya mwingereza huku Rwanda na Burundi zikienda kuwa chini ya Mbeleji au Belgium ambae pia alikuwa mtawala wa Congo.

Hivyo watu ambao ni wenyeji wa Zbar hawajawahi kuitoa Mombasa kuwa sehemu ya Kenya, ila Sultan alievamie nchi hii kuleta utumwa na wakoloni waliovamia kuleta ukoloni, walikubaliana kuitoa Mombasa na Waziri Mkuu Shamte alitia saini bila shaka baada ya kupewa rupia, au chini ya kitisho.
Huenda kuna siku Zbar wataidai Mombasa au Mombasa watadai kurejea chini ya vinasaba vya uzenji.
 
Kwa anayejua Tafadhali kabla ya ile mikataba ya Kijermani na Kiingereza hali ilikuwaje.

Nimesoma mahali kuwa hata baba yake Obama siyo mkenya ni mtanzania ndio maana Obama alifika hadi Tarime kwa akina Heche kuwasalimia.

Nasubiri majawabu!

Maendeleo hayana vyama.
Nenda kamuulize Putin au Sabaya

Back
Top Bottom