Hivi ni kweli kileleni mwa mlima Kilimanjaro kuna shimo?

Hivi ukifika hapo kileleni unakua na hali gani? Tunashauriwa kula chakula gani ili ufike kirahisi na inachukua muda gani. Vipi nikifika bila kuvaa viatu kuna madhara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya yalikua maandalizi ya uwanja wakuzea mpira,juu kabisa ya mlima. mkiangalia hizi picha kwa umakini mtaona ndege ikiwa juu, hiyo ndege ni ya Ethiopian airlines, haionekani vizuri sana kutokana na mwanga wa jua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege gani hiyo??
Lini?? Na mwaka gani?? Weka picha. No evidence no right to speak.
Na unavosema ilivutwa means kuna kani kama ya sumaku, wangapi wamefika na kuvutwa na kupotelea huko??
Usijitie baraka kujua kumbe ni kama mimi tu
Mkuu hizi ni kauli za wahenga kama sie enzi hizo hata internet hakuna...watu tulikuwa tunachomekew tu chochote kwa kuwa ulimwengu ulikuwa mbali na sie kutokana na teknolojia na elimu..mwingine akija atakuambia kwenye bwawa lile kuna chunusi ananyonya damu ukienda kuogelea kumbe mtu amezama hajui kuogelea
 
Uvutwe na kunasa?
Kwani na wewe umewekewa vyuma kwenye moyo mpaka uvutwe unase?
Hapo hapamfai Manji Tu,ila kama na wewe umewekewa vyuma moyoni ni bora usiendepo maana utavutwa na kunaswa sawa bwana?
 
I wish siku moja nifike ila kiafya nina tatizo la flue allergy hasa ya vumbi laini, baridi japo hainiathri sana
Unaweza kupanda ila unashauriwa pale utakapojiskia hali yako siyo nzuri usiendelee mwenyewe nina ugonjwa kama huo na nilishapanda mara kibao to
 
Unaweza kupanda ila unashauriwa pale utakapojiskia hali yako siyo nzuri usiendelee mwenyewe nina ugonjwa kama huo na nilishapanda mara kibao to
Yes ,,one day yes ntajaribu ila kipindi cha kiangazi maana manyunyu yakianza ile kulowa maji kuna kuvuta unyevu flani hapo ndo chafya mfululizo
 
BTW, Kilimanjaro ni dormant volcan mountain, na hapo unaposema shimo ni crater ambayo ilitokana na volcano iliyo erupt miaka ya zamani sana.
Hayo mengine sijui...
Hamna cha zaidi upo vizuri
 
Shame on you
 
Hilo shimo mbona sijawahi sikia MTU amedumbukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…