Zambia IPI MKUU ya Sasa au miaka 15 nyuma!
Rwanda Ni Taifa Stars iliyocgangamka!
Zambia og ,isingetokea eti kiungo wake ...Kama Rally Bwalya she kucheza Ligi ya Tz
Wewe unawafahamu wazambia waliokuja kucheza Malindiya Zanzibar kipindi inadhaminiwa na Naushad au ulikuwa hujazaliwa, unajua walikuwa na uwezo gani kipindi hicho zbia tishio Afrika na wote walikuwa timu ya taifa

Miongoni mwa wachezaji hao mmojawapo.ni Moldon Malitoli nq wwngine wawili siwqkumbuki majina ila wote walikuwa timu ya taifa, pia walikuwa nq mburgalia mmoja nq kikosi hicho kilifika robo fainali ya kombe la washindi