Hivi ni kweli kuna kampuni za Ubashiri zinachelewesha Pesa za washindi?

Hivi ni kweli kuna kampuni za Ubashiri zinachelewesha Pesa za washindi?

Aidan Avidan

Member
Joined
Jul 6, 2023
Posts
12
Reaction score
82
Mambo vipi Mdau,

Naombeni mniweke sawa kuhusu hili. Nasikia kuna kampuni za kikanjanja watu wamepiga pesa lakini mkwanja mpaka sasa kuna baadhi ya watu hawajapata, kama mtu anataarifa zaidi anisaidie,

Maana mi kampuni ninayotumia huku ni mtelezo tuu naweka pesa na kutoa. Unyama wa Sokabet huu sasa sijajua kampuni hizo zingine wanakwama wapi.
 
Back
Top Bottom