Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Ndo hujui kitu kabisa. Maisha ni jinsi system ya mwili inafanya kazi. Maisha ni vital organs zinavyofavya kazi kwa kutegemeana. Moyo ukisimama,mapafu yasipofanya kazi basi ubongo unakosa O2 na hapo unakufa maana mifumo ya fahamu inakufa. Huwezi tenganisha mwili na organs zake na maisha. Nafikiri unahitaji shule ya mwili wa bidamu unavyofanya kazi.
 
hapo hamtoelewana kwa sababu mwenzako amejibu kiimani zaidi ile hali wewe umejibu kisayansi
 
Mkuu samahani wewe ni nan ni mwili au nin?
 
Ukifa habari inaishia hapo, sijui kwa nini watu weupe walituletea huu upuuzi na sisi tukaubeba kama ulivyo.
 
Mimi ni mwili na organs zake ambazo zinafanya kazi vizuri kabisa.
Wewe uliyekuwa unamwaka mmoja na kilo mbili na wewe wa leo mwenye kilo sitini au zaid nan ni halisi?
Kama wewe ni mwili unamaanisha wewe ni chakula unachokula au?
Vipi kuhusu baada ya miaka saba kila seli ya mwili wako huwa mpya tofauti na miaka saba iliyopita
je unabaki yule yule au unakuwa mwingine kila baada ya miaka kadhaa?
 
Ukifa habari inaishia hapo, sijui kwa nini watu weupe walituletea huu upuuzi na sisi tukaubeba kama ulivyo.
zaidi ya 90% ya watz wanaamini kuwa kuna maisha baada ya kufa na Hawa wote ukifuatilia anaamin hivyo kiimani zaidi
 
[emoji848][emoji848]kwa maana hiyo vina saba (DNA) [emoji3459] vya mtu anapokuwa mtoto mchanga na anapokuwa mtu mzima hubadilika??
 
[emoji848][emoji848]kwa maana hiyo vina saba (DNA) [emoji3459] vya mtu anapokuwa mtoto mchanga na anapokuwa mtu mzima hubadilika??
Kufa kwa cell na kuzaliwa kwa cell zingine tayari zinakuwa zimerithi dna za parent cell.
 
Wasomi kama nyie mnaoamini miujiza ndio mnaifanya afrika igande.. mungu unayemtaja anayejua yote ndio huyu alikua anahamasisha utumwa na biashara ya utumwa?
Wanaayansi wote walioleta mageuzi duniani waliamini katika miujiza...
Iwe Newton na alchemy, pythagoras na unajimu hata Einstein in short esoteric knowlegde haikwepeki.
 
Wanaayansi wote walioleta mageuzi duniani waliamini katika miujiza...
Iwe Newton na alchemy, pythagoras na unajimu hata Einstein in short esoteric knowlegde haikwepeki.
Hamna mwanasayansi aliamini katika miujiza bali walikuwa na imagination kubwa with outstanding logical thinking
 
Hamna mwanasayansi aliamini katika miujiza bali walikuwa na imagination kubwa with outstanding logical thinking
Hahaha!!! so unapinga Newton hakuamin alchemy??
Ummewahi soma secret paper of Newton?
Unatumia left or right brain or both?
Soma hata newyork bestseller books kam Napollenhill uone
hao wazungu kama hawaamin miujiza.
 
kwa maana nyingine ni kitu kimoja
Mtoto akirithi dna zako utasema ndio wewe una maisha mawili?
au bacteria akidivide na kutengeneza bacteria mwingine utasema bacteria ni mmoja kwa sababu amerithi dna?
DNA ni urithi sio kile kile.
 
Hahaha!!! so unapinga Newton hakuamin alchemy??
Ummewahi soma secret paper of Newton?
Unatumia left or right brain or both?
Soma hata newyork bestseller books kam Napollenhill uone
hao wazungu kama hawaamin miujiza.
miujiza ipi hapa tunayoizungumzia
 
Pitia neardeath exprience vitabu au website.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…