Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Hivi ni kweli kuna maisha baada ya kifo?

Umeona sasa tatizo lako lilipo?

Nilichokijibu kwenye hoja ya mdau kimetokana na madai yake mwenyewe kua amri kumi "zimejitosheleza", sasa wewe kuniuliza uhalali wa jambo halafu ukaacha msingi wa hoja unakua unanifanya nitilie mashaka uelewa wako
Punguza kujitoa ufahamu, jibu swali ndipo na wewe uulize swali.
 
Sasa kwanini mungu atuletee shetani ili atudanganye halafu tukishadanganyika mungu ambaye kamleta huyo shetani akatuchome sisi moto, kwa mfano wewe unamkataza binti yako mwanafunzi asiwe na mchumba na unamuonya kwamba akiwa na mchumba utamuadhibu kisha wewe mwenyewe baadae unamtafuta mwanaume unamwambia aende akamtongoze huyo binti halafu baadae ukija ukimuona binti yako na huyo mwanaume ni wachumba unamuadhibu binti yako , ni kwann haya mambo yamekaa hivi kiupandeupande?
Mungu yeye anasema ni kama mtoto ambaye anayebumba udongo. Na kutengeneza kitu.

Je hicho kitu alichokitengeneza Yeye ni haki kimuulize..
Kwa nini hukuniumba hivi ama vile ? Mfano nisiwe na tumbo.
Anatuuliza, Je mfinyanzi hana mamlaka juu ya kilae alichokitengeneza kwa udongo wake ? Kama apendavyo ?

_____________________&&&_____________
Huwezi kumuuliza Mungu kwanini uliruhusu Adamu ale tunda na huku unajua litokealo mbeleni ?
Akala tunda akagundua yuko uchi na ndipo ikaja kitu inaitwa sex(Kutiana) ukatupa na adhabu wanadamu. Kwanini????
 
Futa huu ujinga kwenye kichwa chako.
Hata kuabudu mizimu ni kitu tuliletewa, huna historia yoyote unayojua, tulia tu.
mh hapana sitaki kuamini hii kitu mababu wa mababu zetu walikuwa na utamaduni wao waliokuwa wanauishi kabla ya kuingiliwa na kuharibiwa na mkoloni
 
Maisha yaliyopo baada ya kifo ni wewe kuliwa na bacteria na wao kurelease your sun's energy uliyobaki nayo kabla hujafa kwenye dunia tena ili mwengine aitumie.
ila hamna kitu maisha baada ya kifo ukifa umekufa .
 
Ishi na hii kauli,
"Ni heri kuamini Mungu yupo ili ata kama ukifa na usipate nafasi ya kukutana nae fresh tu inakua imeisha iyo.
Kuliko usiamini Mungu yupo then ukafa ukaenda kumkuta yupo."

"Binafsi naamini kuna maisha ya uzima wa milele, baada ya huu mwili nilionao hapa duniani kufa."
Mimi najua sitomkuta
 
Ukipekua pekua sana inasemekana nasema inasemekana kwa sababu sijawahi shuhudia kuna watu wana uwezo wa kutoka kwenye miili yao na kurudi tena kwa maana hiyo huu mwili ndiyo utaoza na kuwa udongo tena ila roho itaishi sasa inaishi vipi na wapi
Roho ni nini
 
kwa maana nyingine hamna maisha hapo maana kabla ya kuzaliwa sikuwepo[emoji848][emoji848]
Maisha yapo, kwani yanaenda wapi baada kufa?
Kama maisha hayapo, tuelezane yameelekea wapi sasa!!?
 
Mungu yeye anasema ni kama mtoto ambaye anayebumba udongo. Na kutengeneza kitu.

Je hicho kitu alichokitengeneza Yeye ni haki kimuulize..
Kwa nini hukuniumba hivi ama vile ? Mfano nisiwe na tumbo.
Anatuuliza, Je mfinyanzi hana mamlaka juu ya kilae alichokitengeneza kwa udongo wake ? Kama apendavyo ?

_____________________&&&_____________
Huwezi kumuuliza Mungu kwanini uliruhusu Adamu ale tunda na huku unajua litokealo mbeleni ?
Akala tunda akagundua yuko uchi na ndipo ikaja kitu inaitwa sex(Kutiana) ukatupa na adhabu wanadamu. Kwanini????
Hiyo ni sawa na mzazi uzae mtoto halafu umfanye vile unavyotaka wewe kisa tu wewe ndio uliyemzaa yani hata Kama ukimwambia aje akurambe miguu inabidi aje akurambe bila ya kuhoji na akikaidi unamuadhibu.Sasa mkuu huyu mungu aliyeumba ulimwengu na vyoote vilivyomo ndani yake anaweza kabisa kukaa akafanya mambo ya kitoto na ya kidikteta kama hayo?
Pia kwann tusimuulize wakat sisi anataka tumuamini , tutamuamini vipi wakti mambo yake anayoyafanya hayatuingii akilini kabisa so kwahiyo inabidi tuhoji kwanza atueleweshe tumuelewe. Kuamini kitu bila ya kuhoji ndio unyumbu wenyewe huo sisi binadamu tumepewa uwezo wa kureason mambo na critical thinking sasa kwann tusiutumie? Mfano mungu anataka tuamini dunia ipo tambarare ,jua linazunguka dunia,dunia ina miaka 6000 n.k yani ana full of shits sasa wewe unatak tuamini tu bila ya kuhoji?
 
Ukifa hujui Kama unekufa una-transform na kuingia katika ulimwengu mwingine.

Uhakika ni kuwa Maisha baada ya kifo yapo Ila yapoje hakuna ajuaye.

Ni ishu ya ku-transformation
Miti,mbwa,ngombe,n.k wao wanafahamu kuna maisha baada ya kufa?
 
Ishi na hii kauli,
"Ni heri kuamini Mungu yupo ili ata kama ukifa na usipate nafasi ya kukutana nae fresh tu inakua imeisha iyo.
Kuliko usiamini Mungu yupo then ukafa ukaenda kumkuta yupo."

"Binafsi naamini kuna maisha ya uzima wa milele, baada ya huu mwili nilionao hapa duniani kufa."
Sasa kama unamuamini mungu wa kikristo halafu ukafa ukakuta mungu wa kweli ni wakiislamu,si utakua tu umeruka mkojo umekanyaga mavi
 
Aliyesema kuhusu vilivyo nje ya amri kumi ni halali ni nani ? Kama siyo wewe ? Au yale maneno umesemewa ?

Sasa usikimbie maswali yanayo kuhusu. Jibu maswali niliyo kuuliza.
Nikwasababu kuna neno "vimejitosheleza" lililotangulia kabla ya hilo neno nililoandika mimi

Nikuulize wewe, neno "vimejitosheleza" unalifafanua vipi?
 
Majibu yangu yatabaki pale pale...
Sababu kuu ya mimi kuwa na imani dhabiti ni kwamba...

Kuna ishira ambazo watu waaminio zinaambatana nasi.
Ishara hizo ndio zinanifanya niamini nipo sehemu sahihi.

Kama kwenye uislamu kutakua na Mengi mazuri zaidi ya ukristo wangu, basi nipo tayari kuslim.

Niendeleena utafiti wangu..
Kama kuna muislamu anajua ni kitabu gani kinaelezea nguzo za uislamu anitajie nisome.

Zipo kwenye Quran au ni nje ya Quran
SI unit ya kupima kujua imani thabiti inazingatia factors zipi?

Hizo ishara zinakubalika na watu wa dini zote au yako tu? Vipi kama sasa kuna imani nyingine ambazo zina maono ya ishara ambazo ni tofauti na yako na wakakuambia nao wana imani thabiti, utawakubalia kwamba wapo sahihi?
 
hapo ninachoona mimi ni ngumu mtu kuamini imani ya mtu mwengine mifano hai ipo mpaka leo wakristu na waislam kila mmoja anambeza mwenzake kwa kile anachoamini au hata kwa wakristu wenyewe kila mmoja ana iman yake na kila mmoja anaona imani yake ni bora kuliko ya mwenzake cha ajabu sasa wote hawa wanapingana lakin mwisho wa siku wote wanaamini katika kitu kimoja Mungu
 
Kwa Mimi naamini kila binadamu ni kwa kiasi Fulani anaamini kuwepo kwa Mungu hata kama atakataa(kitendo Cha kukubali au kukataa ni ishara tosha za uwepo wa super natural power) ila..
Tofauti ipo katika hizo Sheria zinazoitwa ni za Mungu hapa naamini kwa kiasi kikubwa ni binadamu wachache walizitunga alafu kuwaaminisha watu wote wazifuate ati ni amri za Mungu. Ukizichunguza kwa undani utaona Kuna baadhi ya Sheria zina madhaifu makubwa kama Sheria hizi ambazo sisi wanaadamu tumezitunga.
Ki msingi sisi wenyewe ndio tunaojiamulia maisha, hakuna Sheria iitwayo ya Mungu isipokuwa tunayo mamlaka sisi binadamu ya kutunga Sheria zetu Ili kulinda hadhi ya binadamu na mazingira yake.
 
ni kweli na binadamu kama binadamu tukipewaga uhuru huwa tunautumia vibaya sana na ndiyo maana tokea enzi waliliona hilo wakaamua kuanzisha sheria na miongozo ambayo binadamu anatakiwa kuifuata mfano tu mdogo nyumbani kwako usipoweka sheria na kuzisimamia mwanao atakurudia nyumbani kwako saa saba ucku anakugongea umfungulie mlango
 
Back
Top Bottom