Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Punguza kujitoa ufahamu, jibu swali ndipo na wewe uulize swali.Umeona sasa tatizo lako lilipo?
Nilichokijibu kwenye hoja ya mdau kimetokana na madai yake mwenyewe kua amri kumi "zimejitosheleza", sasa wewe kuniuliza uhalali wa jambo halafu ukaacha msingi wa hoja unakua unanifanya nitilie mashaka uelewa wako