The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Eti akipaa ndio kimbembe zaidi
Sijawahi kusikia kama wanang'ata. Kwa nini uogope sasa?Ndiyo tupo.
Aisee nikimuona mende ndani nakuwa Sina amani.
Wee wanang’ata vizuri tu! Nzi tu anakung’ata iwe mende!Sijawahi kusikia kama wanang'ata. Kwa nini uogope sasa?
We kama mimi!Me simuogopi ila simpendi huyu mdudu nikimuona ananitia kinyaa sana
Piga dawa wafeNdiyo tupo.
Aisee nikimuona mende ndani nakuwa Sina amani.
Uzuri hakuna mende,Wala panyaPiga dawa wafe
SafiUzuri hakuna mende,Wala panya
Nipo makini.
hapa unatishika na nini wakishuaWakitoka kujivua gamba, wanakuwa weupe hivi, wanatisha
View attachment 3627938
Wapi nimesema natishika wewe mrembo pori?hapa unatishika na nini wakishua