mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Vijiji gani kwa mfano?labda kinijini kwa kina Mayalla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijiji gani kwa mfano?labda kinijini kwa kina Mayalla.
Upo serious Ndugu? Vijijini wanaishi watu wasio na elimu?Nani kawakosesha elimu?Mnapenda kutukana Wananchi wa vijijini huku mkiwasifia watawapa kura za kishindo?Mnautumia uelewa wao mdogo kwa faida yenu na mnahakikisha hawaambiwi ukweli na yeyote?Mnapanga kuiba kura zao kwa kuwa hawafahamu haki zao kwa njia ile ile mliyoitumia katika uchaguzi wa serikali za mitaa?Ukweli ni kwamba huku vijijini watu hawana habari na upinzani, upinzani umebaki kwa wenye elimu wanajua kudadavua na kukakavua mambo na mapungufu ya fisiem.
Yaani walio wengi shulu si ndio hivyo tena, kuchambua na kuelewa mambo ni vigumu.
Unawaangalia lakini hata mwelekeo hawana, hata watukanwe wanaona sawa tu yaani unaumia lkn ndio hivyo! Hata tume huru ije bado fisiem itaendelea kushinda kwa kura za vijijini ila sio za mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja dhaifu Sana hizi labda kama hujamaanisha. Ikiwa umemaanisha inamana hujui makandokando yaliopo ktk hoja zako?Ni kweli, CCM inakubalika sana na uthibitisho wa kwanza ni ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulioendeshwa kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni za uchunguzi huru na wa haki kwa kutumia kanuni ya " the end justifies the means" mshindi ni CCM.
Uthibitisho wa pili utapatikana November mwaka huu ambapo sasa kwa huku bara CCM inakwenda kuzoa viti vyote vya ubunge na udiwani, wembe ule ule uliotumika kwenye Serikali za Mitaa, ndio utatumika uchaguzi Mkuu wa October hii.
Hii yote ni kufuatia Rais Magufuli kukubalika sana hadi viongozi wa upinzani waliojitambua, wanaacha vyama vyao na kujiunga CCM.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru japo sio shirikishi, na uchaguzi unaendeshwa kwa kanuni za uchaguzi huru na wa haki ila uwanja wa ushindani sawa wa kisiasa ndio uko tenge, yaani the playing field is not level.
Kwa ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ujao, naomba kuanza kutoa pongezi in advance.
CCM Oye!
Oyeee!
Viva Magufuli
Viva CCM
Mungu Ibariki Tanzania
P
Hii fasihi yataka akili kubwa kuelewa.Ni kweli, CCM inakubalika sana na uthibitisho wa kwanza ni ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulioendeshwa kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni za uchunguzi huru na wa haki kwa kutumia kanuni ya " the end justifies the means" mshindi ni CCM.
Uthibitisho wa pili utapatikana November mwaka huu ambapo sasa kwa huku bara CCM inakwenda kuzoa viti vyote vya ubunge na udiwani, wembe ule ule uliotumika kwenye Serikali za Mitaa, ndio utatumika uchaguzi Mkuu wa October hii.
Hii yote ni kufuatia Rais Magufuli kukubalika sana hadi viongozi wa upinzani waliojitambua, wanaacha vyama vyao na kujiunga CCM.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru japo sio shirikishi, na uchaguzi unaendeshwa kwa kanuni za uchaguzi huru na wa haki ila uwanja wa ushindani sawa wa kisiasa ndio uko tenge, yaani the playing field is not level.
Kwa ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ujao, naomba kuanza kutoa pongezi in advance.
CCM Oye!
Oyeee!
Viva Magufuli
Viva CCM
Mungu Ibariki Tanzania
P
Pole,pambana na maisha ndugu usijepoteza muda kunijibu watoto wakalala njaa!Majibu yako full sema sina muda tu wa kupoteza kukujibu
Uzuri wangu sio mwanachama wa chama chochote maana naona wote wanachumia tumbo, kumbuka Wema, Lowasa, Sumaye na wengine walipohamia upinzani, wapinzani wakafurahia na kuanza kuwa-amplify kana kwamba ni watu sahihi chamani.Upo serious Ndugu? Vijijini wanaishi watu wasio na elimu?Nani kawakosesha elimu?Mnapenda kutukana Wananchi wa vijijini huku mkiwasifia watawapa kura za kishindo?Mnautumia uelewa wao mdogo kwa faida yenu na mnahakikisha hawaambiwi ukweli na yeyote?Mnapanga kuiba kura zao kwa kuwa hawafahamu haki zao kwa njia ile ile mliyoitumia katika uchaguzi wa serikali za mitaa?
Mnawadhalilisha Watanzania wenzenu katika nchi yao huku ninyi mkiishi kama wafalme kwa kodi zao,viyoyozi full ac ofisini na kwenye magari,mishahara yenu na posho nono,halafu mnawadhihaki waajiri wenu?
Inaumiza akili,mwili na roho za wengi,only CCM's are enjoying endlessly.
Aaaaaaa wapi.Mystery,
Mlishatambua kuwa Wananchi wanaukubali upinzani tangia hata kabla ya 2015,yamkini walishinda ule uchaguzi na ndiyo maana mkapiga marufuku mikutano ya vyama.Dalili zote zinaashiria kuwa CCM wamejaa hofu na mashaka kuwa 2020 imewadia,CCM pamoja na kufanya propaganda none stop kuwa wanakubalika,bado wamejaa hofu.
Walisema siasa hadi 2020 ila kiuhalisia hadi sasa February inafika ukingoni lakini siasa mpaka Bunge livunjwe. Sasa hapo wanapimaje kukubalika kwao? Wanapambana na adui yao wamemfunga mikono na miguu, then wanasema wameshinda kwa TKO/KO? Hii ni aibu kwa demokrasia, ni sawa na kumbaka Malaya.
Mnapata wapi tathmini za kuwa mnakubalika kiasi cha kushinda kwa kishindo uchaguzi ambao hata haujatangazwa utafanyika tarehe ngapi?Hii siyo sawa na kujitangaza washindi kabla ya Tume ya Uchaguzi?Sheria zetu zimekaaje?
Hakika, twawea walishamalia kazi, katika utafiti wao, kwa kukuibia ibia kidogo walichosema ni hiki;TWAWEZA walishatoa majibu ya utafiti wao kuwa fisiemu inapendwa na watu wa namna gani, utafiti uwa unapingwa kwa utafiti fisiemu hawajafanya utafiti wao wanajiaminisha kwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliogubikwa na hila mbalimbali yani mgombea wa upinzani akienda kwa mtendaji kuomba fomu anapewa fomu nusu ila akija wa fisiemu anapewa fomu zote na ata wakikosea kujaza fomu walikuwa wanafutiwa na kurekebishiwa kwenye makosa, wagombea waupinzani wananyimwa fomu arafu usema kuwa uchagu huo ulikuwa uhuru na haki
Ni kweli, CCM inakubalika sana na uthibitisho wa kwanza ni ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulioendeshwa kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni za uchaguzi huru na wa haki kwa kutumia kanuni ya " the end justifies the means" mshindi ni CCM.
Uthibitisho wa pili utapatikana November mwaka huu ambapo sasa kwa huku bara CCM inakwenda kuzoa viti vyote vya ubunge na udiwani, wembe ule ule uliotumika kwenye Serikali za Mitaa, ndio utatumika uchaguzi Mkuu wa October hii.
Hii yote ni kufuatia Rais Magufuli kukubalika sana hadi viongozi wa upinzani waliojitambua, wanaacha vyama vyao na kujiunga CCM.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru japo sio shirikishi, na uchaguzi unaendeshwa kwa kanuni za uchaguzi huru na wa haki ila uwanja wa ushindani sawa wa kisiasa ndio uko tenge, yaani the playing field is not level.
Kwa ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ujao, naomba kuanza kutoa pongezi in advance.
CCM Oye!
Oyeee!
Viva Magufuli
Viva CCM
Mungu Ibariki Tanzania
P
Kwa upande wa Rais uungwaji mkono umeserereka kutoka 96% mwaka 2016, ambavyo vilikuwa ni viwango vya juu kuwahi kutokea nchini, mpaka 55% mwaka 2018, viwango vya chini kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya nchiHakika, twawea walishamalia kazi, katika utafiti wao, kwa kukuibia ibia kidogo walichosema ni hiki;
Kuwa CCM inakubalika zaidi vijijini, tena kwenye kada za watu ambao hawajaenda shule.....
Vipengele vingine waliivyoelezea twawwza malizia mwenyewe........
Nabarikiwa sana na aina ya uandishi wako, ingawa ili kukuelewa huwa nayaelekezea maandishi kwenye kioo ndio niyasome, yaani kama selfie vile.Ni kweli, CCM inakubalika sana na uthibitisho wa kwanza ni ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulioendeshwa kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni za uchaguzi huru na wa haki kwa kutumia kanuni ya " the end justifies the means" mshindi ni CCM.
Uthibitisho wa pili utapatikana November mwaka huu ambapo sasa kwa huku bara CCM inakwenda kuzoa viti vyote vya ubunge na udiwani, wembe ule ule uliotumika kwenye Serikali za Mitaa, ndio utatumika uchaguzi Mkuu wa October hii.
Hii yote ni kufuatia Rais Magufuli kukubalika sana hadi viongozi wa upinzani waliojitambua, wanaacha vyama vyao na kujiunga CCM.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru japo sio shirikishi, na uchaguzi unaendeshwa kwa kanuni za uchaguzi huru na wa haki ila uwanja wa ushindani sawa wa kisiasa ndio uko tenge, yaani the playing field is not level.
Kwa ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi Mkuu ujao, naomba kuanza kutoa pongezi in advance.
CCM Oye!
Oyeee!
Viva Magufuli
Viva CCM
Mungu Ibariki Tanzania
P
Hiyo ni kwa mujibu wa Rais au Twaweza?Kwa upande wa Rais uungwaji mkono umeserereka kutoka 96% mwaka 2016, ambavyo vilikuwa ni viwango vya juu kuwahi kutokea nchini, mpaka 55% mwaka 2018, viwango vya chini kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya nchi
Huo ndiyo ukweli mtupu, ambao wale watu wa Lumumba hawataki kabisa kuusikia........Kwa upande wa Rais uungwaji mkono umeserereka kutoka 96% mwaka 2016, ambavyo vilikuwa ni viwango vya juu kuwahi kutokea nchini, mpaka 55% mwaka 2018, viwango vya chini kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya nchi
Lakini wewe mzee hizi teuzi kweli? Ila nakutabiria 2020/2025 lazima Ukuu wa mkoa au Ubunge wa Kuteuliwa kazi yako tumeionaNi kweli, CCM inakubalika sana na uthibitisho wa kwanza ni ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulioendeshwa kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni za uchaguzi huru na wa haki kwa kutumia kanuni ya " the end justifies the means" mshindi ni CCM.