Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

sifa ya kuwa Mbunge Tanzania ni Kujua kusoma na Kuandika kiswahili. Kuelimika si kuwa na degree
Labda kaona degree ni elimu kubwa mtu anakuwa na degree hata kiingereza hajui kuongea duu ni hatarii
 
nasikia Mpigamsuli laana ya jf imemuandama hadi elimu ya.huko muccobs haiendi poa ni mtu wa.kuchomoa sup na kukwepa kidisco

Teeh, ailikua anadance na akili za watu jf mwisho wa siku wamemgeuza.... I wish to see him back with....! Hivi jamaa kamaliza chuo au kamba ilikatikia palipoozea?
 
Last edited by a moderator:
Lile kubwa jinga la yule mzee anayegongewa mkewe yule mpare lina degree tatu. Moja ya kivulia kambale.
Nina Phd ya uganga wa kienyeji, sisi ndio tunaowakilishwa na yule mzee asiye na dini kwenye bunge la katiba.
 
mbona mimi nilishajitambulisha kitambo tuu...nimeishia darasa la tano pale shule ya msingi madenge
 
Usisahau
Dr. Mengi.
Dr. Mrema.
Dr. Geo Davie Mkuu wa Manabii.
Dr. Manyaunyau.
Dr. Presdent.
Dr. Mama mchungaji Rwa....
Dr. Nape Nauye.
Dr. Ndodi.
Dr. Mchunguzi Huru [phd]
Dr....


Nilipata kusikia namba 7 alitumia kofia yake kutaka kupakua alama (marks) kutoka kwa Lecturer mmoja alipokuwa anachukua Masters somewhere akazinguliwa, kumbe kapekecha mpaka kuingia kwenye u-Dr
 


Shardcole, humu ndani kuna watu wenye elimu tofauti tofauti. Kuna waalimu wenye diploma, waalimu wale wa zamani Upe, Kuna maproffessor, kuna wakulima, Kuna bodaboda, kuna wasukuma toroli, kuna polisi, mawaziri, madaktari, fundi ujenzi, wafanyabiashara, wabunge, housegirls, wanafunzi (primary, secondary, forms 5/6, chuo kikuu) , kuna mahakimu, majaji n.k. Kwa hiyo watu ni wa kila aina wako humu vile vile kama unavyoona facebook, WhatsApp, Viber, twitter, instagram n.k. Kuna kuna wanvyuo kama chuo kikuu, chuo cha ufundi kama seremala, welding, driving n.k. Wenye degree zao nao wapo wakiwa na degree mbalimbali. Kwa hiyo hapa tuko mchanganyiko.
 
Last edited by a moderator:
mbona mm sijui kusoma na kuandika lakini nipo hapa
 
Teeh, ailikua anadance na akili za watu jf mwisho wa siku wamemgeuza.... I wish to see him back with....! Hivi jamaa kamaliza chuo au kamba ilikatikia palipoozea?
hahahaaa...haya bana..lakin mshaambiwa thermomter ina degree lkn inafanya kaz kwapani!
 

Mkuu CM ukifuatilia majibu mengi yaliyotolewa kwenye uzi huu unaweza kujua elimu na IQ zao wala huhitaji kuviona vyeti vyao
 
Last edited by a moderator:

Mbona umetusahau makorokoroni? Mimi sifichagi ujuzi wangu mimi ni korokoroni na nina cheti changu cha mgambo nilichofaulu vizuri tuu hizo degree zenu ni mbwembwe tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…