Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Haahahaha, alipotelea wapi huyu le profesel. Walimvua "nguo" kend e zikabaki wazi. Honekani kabisa.
Ha ha haaaa yaani humu ni TATIZO!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahahaha, alipotelea wapi huyu le profesel. Walimvua "nguo" kend e zikabaki wazi. Honekani kabisa.
Mimi nimeishia Darasa la Saba....Ila najua kusoma na kuandika..
MIMI NINA DEGREE YA POMBE "Nacheua kibwegeee"
Haahahaha, alipotelea wapi huyu le profesel. Walimvua "nguo" kend e zikabaki wazi. Honekani kabisa.
Mbona fb member wengi wana ajira tena sekta nyeti na wamesoma udsm?wabongo watu wa kujilisha upepo sana
si kweli kuwa wote tuna degree.Mimi nimeishia darasa la saba.
Lazima iniue, ya nini mtusimangie midigrii?
Kwanza mie shida na digrii, waowaji wengi wanakuwa intimidated na wanawake wenye digrii, hasa wasonazo.
Duh... Nami umenifumbua macho zaidi, hasa hasa hapo ulipopiga nyundo,kwenye no 5,ya mtaa wa Lithuli, ambapo huwa tunasikia, mashabiki wake wakimtamtambulisha kwa nguvu sana jina lake, wakitanguliza na udokta, sasa tuwaulize wapenzi hao wa Mkulu kabisa, watuambie, chuo gani kikuu,na kipo katikaq nchi gani, mheshimiwa wetu huyo tunayemuheshimu sana, alichukua PhD yake?!Usisahau
Dr. Mengi.
Dr. Mrema.
Dr. Geo Davie Mkuu wa Manabii.
Dr. Manyaunyau.
Dr. Presdent.
Dr. Mama mchungaji Rwa....
Dr. Nape Nauye.
Dr. Ndodi.
Dr. Mchunguzi Huru [phd]
Dr....