Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

wapo watu wa levo zote! Vp mlitaka muwe nyie wa digrii tu Sisi tutoke?
 
wenye elimu zao za "digrii" w
anatufunza mengi humu jf. Sisi kina "standadi seven" wacha tujinyamazie.
 
JF haina kigezo cha ELIM, may b waanzishe, kinachonifurahisha hum ndan hukosi kitu cha kujifunza, maana kunawatu hum ndan kazi yao n kuwafanya wengine wabatasam!

I lyk JF,
 
Mie SIKU NAJIUNGA SIJaONA KIPENGERE CHA ......level of EDUCATION
 
sifa ya kuwa Mbunge Tanzania ni Kujua kusoma na Kuandika kiswahili. Kuelimika si kuwa na degree
 
Haahahaha, alipotelea wapi huyu le profesel. Walimvua "nguo" kend e zikabaki wazi. Honekani kabisa.

nasikia Mpigamsuli laana ya jf imemuandama hadi elimu ya.huko muccobs haiendi poa ni mtu wa.kuchomoa sup na kukwepa kidisco
 
Last edited by a moderator:
Kwani wakisema wana degree halafu hawana unaumia popote! Si shauri yao wanajishaua pasipo sababu? Si mtu anajitaabisha mwenyewe akisema nimeshiba nakwenda kulala huku ana njaa hajala kitu! Wewe unayeambiwa unapata shida gani? Umemwajiri akakuharibia kazi au una donge tu, hutaki wengine wawe nayo, unapenda uwe peke yako?
 
Sasa una degree, hata nauli ya daladala inakushinda, si bora hivyo vyeti ukafungie maandazi tu.
 
Lazima iniue, ya nini mtusimangie midigrii?

Kwanza mie shida na digrii, waowaji wengi wanakuwa intimidated na wanawake wenye digrii, hasa wasonazo.

Duh! Unaongea kwa hisia sana!
Take it easy.

Wasikusimange me wenye digirii, njoo kwa fundi chepeo tujilie vyetu!!!!!
 
Usisahau
Dr. Mengi.
Dr. Mrema.
Dr. Geo Davie Mkuu wa Manabii.
Dr. Manyaunyau.
Dr. Presdent.
Dr. Mama mchungaji Rwa....
Dr. Nape Nauye.
Dr. Ndodi.
Dr. Mchunguzi Huru [phd]
Dr....
Duh... Nami umenifumbua macho zaidi, hasa hasa hapo ulipopiga nyundo,kwenye no 5,ya mtaa wa Lithuli, ambapo huwa tunasikia, mashabiki wake wakimtamtambulisha kwa nguvu sana jina lake, wakitanguliza na udokta, sasa tuwaulize wapenzi hao wa Mkulu kabisa, watuambie, chuo gani kikuu,na kipo katikaq nchi gani, mheshimiwa wetu huyo tunayemuheshimu sana, alichukua PhD yake?!
 
Back
Top Bottom