Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

wengi tuna Elimu ya mtaani dot.com sema tu tunatumia id bandia
 

Usisahau
Dr. Mengi.
Dr. Mrema.
Dr. Geo Davie Mkuu wa Manabii.
Dr. Manyaunyau.
Dr. Presdent.
Dr. Mama mchungaji Rwa....
Dr. Nape Nauye.
Dr. Ndodi.
Dr. Mchunguzi Huru [phd]
Dr....
 
Usisahau
Dr. Mengi.
Dr. Mrema.
Dr. Geo Davie Mkuu wa Manabii.
Dr. Manyaunyau.
Dr. Presdent.
Dr. Mama mchungaji Rwa....
Dr. Nape Nauye.
Dr. Ndodi.
Dr. Mchunguzi Huru [phd]
Dr....

Nahisi Dr Mchunguzi huru atakuja sasa hivi kujibu hizi tuhuma.
 
We unasema degree tu wakati kila mwana jf ana gari, ana smartphone ya gharama, ana nyumba ya milioni, keshafika ulaya, mzoefu wa biashara, ana kazi kwa tittle bomba kabisa na mengine mengi mazuri.
 

Shardcole me ni std 7 leaver shule ya msingi MKONDOA--WILAYA YA KILOSA
 
Last edited by a moderator:
cheti pekee nilichonacho ni cheti cha kuzaliwa tu
 
Sababu wenye degree watakuwa ni form four na six pia, au diploma! !!!

So hizo ni subsets, yaani usitafute sukari wakati unakunywa chai, imo humo tayari huwezi iona tena!!!!!

lol! inaelekea ulikuwa mkaree wa namba.
 

Kwa dharau zilizo humu unadhani atasema 'nikiwa darasa la 2 sijavaa viatu' hahaha watu wana jiblend maZingira yanayoashiria wako safi ili kuogopa kuwa defined walivyo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…