Hivi ni kweli kuwa uume unaweza kuongezeka ukubwa baada ya balehe kuisha?

Mkuu ridhika na size ya uume wako afu upambane kutafuta pesa.
 
Articles nyingi zinaelezea hivyo kwamba baada ya baleghe uume unakuwa hauongezeki tena ila ninavyoamini kuna watu ni late bloomers yaani anapozidi kukua ndo uume wake unazidi kukuwa paka 30's huko ndo unaacha kuongezeka
 
Wanawake now days wanataka ndefu nene 😂
 
Articles nyingi zinaelezea hivyo kwamba baada ya baleghe uume unakuwa hauongezeki tena ila ninavyoamini kuna watu ni late bloomers yaani anapozidi kukua ndo uume wake unazidi kukuwa paka 30's huko ndo unaacha kuongezeka
Watakuja kuuliza kuwa una uhakika na unachokisema au na wewe umesoma mahali?

Kwa hiyo huyu rafiki yangu mwenye 29 years ndo aandike maumivu? Mwaka mmoja utamfaa nini? 😭😭
 
Kwa upande wangu mimi, urefu wa uume niliokuwa nao nikiwa na miaka 14 i.e (5.9 inch) ndio huo huo nilionao mpaka leo, kipindi hicho ulikuwa mwembamba, lakini nilipofikisha miaka 23, upana wa uume uliongezeka ghafla na kuufanya kuonekana mfupi na mnene



Mkuu Mbona Unajikanyaga hapa Umesema una Inch 5.9 na kwenye Thread yako No. 23 umesema una Inch 9
Kwa Wastani huo wa Inch 5.9 ni Normal, lakini kwa Inch 9 itabidi ukavyalishwe Pete!! Kwa Unene hamna Shida. Hata kama una Size ya Mguu wa Mtoto, Huta watesa. Urefu ndio Shida.
KIUFUPI; Hamna Dawa ya Kurefusha Uume, hii ni Sawa kwa Mtu Mrefu au Mfupi. Linalowezekana ni Kuunenepesha au Kuukondesha na Si Kuurefesha!!
 
Hamna Dawa ya Kurefusha Uume, hii ni Sawa kwa Mtu Mrefu au Mfupi. Linalowezekana ni Kuunenepesha au Kuukondesha na Si Kuurefesha!!
Aisee😭 Huyu rafiki yangu atapata tabu sana. Aliyemwambia akubali kuzaliwa na ka uume kadogo ni nani.

Yote kwa yote, inasikitisha sana
 
Mkuu km unamuongelea mtu, na ww sema kwako ilkuaje sas ukiwa teenager na apa sas ulipo
 
Nina waswas hajui kuhesabu inch
 
Mkuu km unamuongelea mtu, na ww sema kwako ilkuaje sas ukiwa teenager na apa sas ulipo
[emoji23][emoji23]Mkuu, binafsi hata sielewi ilikuwaje, juzi juzi ndi kusema em na mimi nijipime, ndipo kukuta ninamiliki inch 9. Yaani binafsi sikuwa nafuatilia ukuaji wa uume kabisaaaa. Sema mimi ni inch 9 japo mwembamba

Nyie ambao mmekuwa mkifuatilia ndio mtupe mwongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…