Hivi ni kweli kuwa uume unaweza kuongezeka ukubwa baada ya balehe kuisha?

Hivi ni kweli kuwa uume unaweza kuongezeka ukubwa baada ya balehe kuisha?

Watakuja kuuliza kuwa una uhakika na unachokisema au na wewe umesoma mahali?

Kwa hiyo huyu rafiki yangu mwenye 29 years ndo aandike maumivu? Mwaka mmoja utamfaa nini? 😭😭
Hamna mkuu sijaweka umri accurate hiyo ni estimation tu juna watu huwa wanaendelea kukua maumbile yao hata wakiwa na 30 au zaidi .
 
Kweli sababu za kumlilia muumba zinatofautiana. Wakati mwingine anatafuta kukuza uume yule msanii wa kizazi kipya amepost picha ya kwanza baada ya miezi 10 ya kumlilia MUNGU.
MUNGU atabaki kuwa MUNGU.
 
Ni rafiki yangu mkuu. Mie ninayo inch 9 mkuu, ila hata mimi natamani kufikia inch 13 ili niwe mwanaume bora
Sasa mkuu inch 9 unaona Bado haitoshi wakati mwenye Saba ni mtu mwenywe bahati sana....hivi unaijua vizuri inch 9
Screenshot_20221127-153452.png
 
Makala nyingi huzungumzia kuwa ukomo wa ongezeko la uume ni baada ya kipindi kizima cha upevukaji wa mwanaume kutimia

Wataalamu wamekazia kwa kusema, ukubwa wa uume atakaokuwa nao mwanaume baada ya kufikisha miaka 20 ndio huo huo atakaokua nao, na hakuna namna anaweza fanya maboresho ili kuuongeza, wameongelea zaidi kuwa ukubwa wa uume unatokana na vinasaba (genes) anavyorithi mtu kutoka kwa mzazi

Kwa upande wangu mimi, urefu wa uume niliokuwa nao nikiwa na miaka 14 i.e (5.9 inch) ndio huo huo nilionao mpaka leo, kipindi hicho ulikuwa mwembamba, lakini nilipofikisha miaka 23, upana wa uume uliongezeka ghafla na kuufanya kuonekana mfupi na mnene

Hii imekaa vipi kitaalamu? Kama ni kweli kuwa ukubwa wa uume unagota mtu unapofikisha miaka 20

(a) Kwanini kipindi chote hicho cha kuanzia miaka 15 hadi 20 hakukuwepo ongezeko la uume wangu? Je, kuna namna naweza kuuambia mwili wangu ukanifidishia kipindi chote hicho ambacho ukuaji ulikuwa umezorota?

(b) Na kwanini ongezeko la ghafla la upana wa uume wangu lifanyike kinyume na muda uliopangwa kitaalamu wa "23 years"?

Sasa nina miaka 29, Je kuna uwezekano wa uume kuongezeka tena ukubwa? Au nihesabu maumivu?

(c) Weka experience yako i.e size ya uume wako ulivyokuwa teeneger, ililingana na size uliyokuwa nayo under 20+ yrs? Na ndiyo uliyokuwa nayo ukiwa under 30+?

(d) Na kama testesterone hormones zinachangia ongezeko la uume, artificial testesterone hormone injection kwa mtu mzima inaweza kuongeza ukubwa wa uume?

(e) Na vipi kuhusu haya madawa ya asili yanayotangazwa kwenye social media kuongeza ukubwa wa uume, yana connection ipi na misuli ya uume? Na kwanini yapingane na nature (genetics)?

Note: Sihusishwi na tatizo hili, ila nimelileta kwa ajili ya mjadala kama lilivyoulizwa na mfanyakazi mwenzangu

Summary,
Hivi inawezekana uume kuongezeka ukubwa baada ya kipindi cha balehe?
View attachment 2427798
Nicheki 0712505049 malipo baada ya kupokea
Screenshot_20221203-124400.jpg
 
Aseee heb namm nielekezen jnx ya kupima namm nijue Nina nchi ngap hapa Africa?🤣
 
[emoji23][emoji23]Mkuu, binafsi hata sielewi ilikuwaje, juzi juzi ndi kusema em na mimi nijipime, ndipo kukuta ninamiliki inch 9. Yaani binafsi sikuwa nafuatilia ukuaji wa uume kabisaaaa. Sema mimi ni inch 9 japo mwembamba

Nyie ambao mmekuwa mkifuatilia ndio mtupe mwongozo

Ukiwa ktk hali gani mkuu? Imesimama ama kawaida?
 
Mimi nina inch 6 nyembamba shoo nikipiga kimoja cha pili sitoboi na sijali kwa hilo... na pia situmii dawa za kubust wala nn na sina tabia ya kubadili wanawake apa najiekea chans kubwa ya kupata CLEAN SHEET
 
Mimi nina inch 6 nyembamba shoo nikipiga kimoja cha pili sitoboi na sijali kwa hilo... na pia situmii dawa za kubust wala nn na sina tabia ya kubadili wanawake apa najiekea chans kubwa ya kupata CLEAN SHEET
Clean sheet ni nini mkuu?
 
Kwanini unataka kuongeza size ya uume?

Unataka kumridhisha mke wako au ku boost ego yako wakati wa kufanya uhuni?

Kama ni kumridhisha mkeo, you are enough.

Kama ni kwaajili ya uhuni endelea kuteseka.

Mwenye rambo ana muwa wake, na mwenye kipisi cha sigara ana kifuniko chake cha speedo, acheni kujitesa for no reason.

Huku uume Huku mitako, matatizo ya karne ya 21!!!!
Halafu uume ulioongezwa wanaanza kuona wau test kwenye mitako iliyoongezwa🤣
 
Vijana wanapotea kwa kukosa Maarifa Na wanawake wanawaharibu sana kwa kuwa hamna akili ya kufikiri,kila mtu Mungu kama size yake Na utaalamu wake Wa kumfikisha mwanamke kileleni.mwanamke ni sayansi itumie vizur katika kumfanya akuone wew Bora sio kuongeza Dhakar ukubwa cheza Na mwili wake Ana sehemu.zaid ya 20 za utamu katika kila mwili Wa mwanamke
 
Wakati wa kubalehe, mwili wa kiume unapitia mabadiliko mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa misuli, sauti kuwa nzito, na ukuaji wa ndevu za uso na mwili. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kwamba ukubwa wa uume kwa kawaida haubadiliki sana baada ya kubalehe.

Ukubwa wa uume kwa kawaida unategemea sana mambo ya jenetiki na homoni wakati wa maendeleo ya kijusi (foetus). Baada ya kubalehe kukamilika, uume kwa kawaida hufikia ukubwa wake wa watu wazima. Kuna bidhaa na njia mbalimbali zinazotangazwa zikidai kuongeza ukubwa wa uume, lakini ufanisi wake mara nyingi unaweza kuwa na shaka, na ni vyema kuwa na tahadhari kuhusu madai hayo.

Ikiwa una wasiwasi kuhusu ukubwa wa uume au masuala mengine ya afya ya kingono, ni vyema kushauriana na mtaalamu wa afya ambaye anaweza kutoa taarifa sahihi, miongozo, na usaidizi.
 
Mimi nina li size la kutosha. Sema huyu rafiki yangu anadai most of women anaopita nao hawaumii, anataka likubwa la kuwaliza
Mijitu inatumbukiza hadi chupa za wine na haiumii leo mtu anataka kuongeza ub*o ili iweje labda?
Akiona ki ub*o hakimtoshi atumbukize mguu hadi gotini kidadeki zake
 
Mijitu inatumbukiza hadi chupa za wine na haiumii leo mtu anataka kuongeza ub*o ili iweje labda?
Akiona ki ub*o hakimtoshi atumbukize mkuu hadi gotini kidadeki zake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana walahi
 
Back
Top Bottom