Labda kwa vile mi ni mbaya ndio maana nilimpenda na kukubali kuolewa na mume wangu akiwa hana mali...
Naona hujanielewa... sijasema kuna chuki wakati mnapendana. either ni chuki au ni pendo. Na kinacho weza kuituma bendera kupepea kushoto au kilia ni hisia kama hasira, frustration, wivu au uelewa, moyo wa kusameeana, ukaribu, kujali na kadhalika.
Huyo njiwa alie peperuka sababu huna 'garo' (whatever this could be) hajakupenda wewe, kapenda 'garo'.
Mapenzi ya kweli ni yale kati wa watu wawili, sio kati ya mtu na mali ya mwenzie, mali ikipotea na penzi linapotea.
Kabla hamjafika kwa sheikh au mchungaji au padre si mnakuwa mmeonjana na kupimana viwango?