Hivi ni kweli kuwa...

Hivi ni kweli kuwa...

kweli wewe ni mbaya sana
ila ni mchokozi sana ndo maana huyo uliyenaye akatulia

possibly yes, love and hate ni two sides za coin
sababu leo unaona wapenzi wanapendana wakiachana visasi vinaanza
ni kushindwa kukubaliana na kuumizwa

Labda kwa vile mi ni mbaya ndio maana nilimpenda na kukubali kuolewa na mume wangu akiwa hana mali...
 
Naona hujanielewa... sijasema kuna chuki wakati mnapendana. either ni chuki au ni pendo. Na kinacho weza kuituma bendera kupepea kushoto au kilia ni hisia kama hasira, frustration, wivu au uelewa, moyo wa kusameeana, ukaribu, kujali na kadhalika.
Huyo njiwa alie peperuka sababu huna 'garo' (whatever this could be) hajakupenda wewe, kapenda 'garo'.
Mapenzi ya kweli ni yale kati wa watu wawili, sio kati ya mtu na mali ya mwenzie, mali ikipotea na penzi linapotea.

umenichekesha bwana mh unavyoendelea kuquote io garo lol.
 
Kabla hamjafika kwa sheikh au mchungaji au padre si mnakuwa mmeonjana na kupimana viwango?

Je na wale wanaotoa msimamo wa kutoku do mpaka ndoa (hasa kwa wasichana) atakuwa amepima wapi?
 
Mapenzi ya siku hizi yameegemea upande mmoja,ni wapenzi wachache sana waliosambamba
 
Back
Top Bottom