🤣🤣🤣🤣We kwa kuishi kwako miaka 20 unaonaje mdogo wangu
Dogo wenzie tunakimbiza 40+ na ndoto hiyo yako bado tunayo, fanya kazi na matajiri jifunze kutoka kwao wanafanye kazi zao, wanakusanya vipi mali, wanalipaje wafanyakazi na suppliers wao, ubunifu wao katika kazi zao ukoje na mwisho zaidi ni ile shuleni tulikuwa tunaita managers are getting things done by others.Kwema wakuu? Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Ndio mkuu nmeajiriwa
labda uwe mwezi kama mawaziri wakurugenzi maris hapa sawa kwa mshahara ndotoKwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Utajiri ni mtu kumiliki asset kuanzia kiasi gani?Kwema wakuu?
Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja.
Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo kwenye njia sahihi ya kutimiza ndoto yangu.
Imekaaje hii wadau, kuna ukweli ndani yake?
Kuna mda unatamani miaka irudi nyuma, dogo anayo nafasi kubwa sana ya kutengeneza utajiri kama atajitambua na kujipanga vzuri. Ila huo umri vijana huwa wanawaza na kufanya yasiyo ya msingi wanakuja kushtuka 27yrsNautamani huo Umri wako aisee, yaani na huu ufahamu nilonao sasa kutajirika hata kama ingeshindikana ila ningekuwa napigania Kombe Moja tu .... 🤗
Nautamani huo Umri wako aisee, yaani na huu ufahamu nilonao sasa kutajirika hata kama ingeshindikana ila ningekuwa napigania Kombe Moja tu .... 🤗