Hivi ni kweli kwamba imeshidikana kabisa kumshusha Diamond Platnumz licha ya juhudi zote kutoka kwa haters?

Hivi ni kweli kwamba imeshidikana kabisa kumshusha Diamond Platnumz licha ya juhudi zote kutoka kwa haters?

Kwa style hii lazima wakuchukie.
Screenshot_20190714-175718.png
 
Kulikuwa na NATURE, MR NICE, CAMELEON, P.JAY, AFANDE, J.DEE n.k... leo wametulia itakuwa huyu?
Au we mgeni kwenye muziki.. Hizi ni nyakati zake zikipita huwezi kuzirudisha
Be honest
hakuna hata mmoja kati ya hao uliowaorodhesha aliyedumu kileleni kwa muda mrefu kama Diamond. Mnyonge mnyongeni ila haki yaki ni muhimu sana.

Mbaya zaidi umemuweka na AFande kwenye hilo kundi.
 
Be honest
hakuna hata mmoja kati ya hao uliowaorodhesha aliyedumu kileleni kwa muda mrefu kama Diamond. Mnyonge mnyongeni ila haki yaki ni muhimu sana.
Mbaya zaidi umemuweka na AFande kwenye hilo kundi.
Ni kweli.. ndio maana nasema ni nyakati zake na zikipita kurudi ni ngumu
 
Ukijua maana ya nyakati huwezi kusumbuka...
Sikiliza nikuambie diamond ameshajitanua kibiashara na pia ana wasanii wake wanafanya vizuri na still anaongeza wasanii wengine lkn ni msanii ana hela nyingi pamoja na wafuasi wengi nafikiri unajua nikisema ana wafuasi wengi utakuwa unajua vizuri hii ndio tofauti ya diamond na hao wasanii wako walianguka wameshindwa kutumia vizuri nafasi zao kutengeneza empire zao.
 
Wacha Apewe sifa akiwa Hai...
 
Kipendi kile tunasikiliza ngoma domo ft neyo,domo ft Rick Ross,domo ft Morgan heritage
Siku hizi tunasikiliza domo anaimba boringo,sijui lingara na akina yope,wasanii hata hawajulini,eti msanii anaitwa ten,mara tunasikia jamaa anakopi na kupesti,wakati wenzie akina Davido,wizkid ndo wamecharuka huko mamtoni kolabo kama zote na akina Drake,chris brown
Alikuwa aki-shoot video kwa akina godfather na Justin Campos,sasa hivi mavideo yake hata hayaeleweki magizagiza anavaa hovyohovyo,anavaa mahereni yananing'inia ka choko..

Diamond alikuwa zamani bwana,enzi za utanipenda,hallelujah,wakawaka,marry me...siku hizi sijui anaimba nini
 
Wadau wa Burudani nianze kwa kuwasalimu Igweee...!

Thread title is clear..

Sasa nisiwachoshe... Tushee maujuzi.. Je! Ni kwanini imeshindikana kumtoa Diamond katika maintsream...

Yani ni yeye tu kila mahali....

New Hits....

Gossips...

Infortaiments...

Events....

Love zones....

Parenting....

Showbizz... and all...

Yani ni kweli kwamba wasanii, waigizaji, ma slay queens, wambeaa.. Woote wameshindwa kabisa kumchallenge Mondi!? Mnamuacha tu atawale all the Industry ya burudani!?? Hivi mnajua hela ngapi anapiga!??

Licha ya kufungiwa katka Media kuu nchini Clouds na EATV n RADIO hajayumba. !??

Hivi hizi media zilizompa ban... Hazioni ni pesa ngapi zimeshapoteza na zitaendelea poteza kwasababu tu ya wivu na chuki za kishirikina.!??

Media hizi hazijui ni jinsi gani wapenzi wa WCB wanakosa burudani kutoka kwa upande huo!??

Okayy...! Labda mlipishana kibiashara.. Je! Wasikilizaji inawahusu nini!!??

All hit songs and events are now WCB.... why dont u come down and negotiate...for the good of yourselves and Tanzanians.

Tangu mwaka huu umeanza Sijaona wa kumlinganisha na Diamond Platnumz....

Its a high time now this Man receive a special Recognition..

Ntarudi...
Yaani media zikampigie magoti NASIBU DOMO??.. Kwa kipi mzee hahahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki tunaojielew hatuhitaji msanii yoyote ashushwe bali tunahitaji wasanii wengine waongezeke zaidi ili kutuwakilisha kimataifa tuzo za mtv wenzetu wa naigeria wasanii wanaoshiriki kweny tuzo wapo zaidi ya 30 lakini sisi wasanii wetu wakimataifa wanahesabik bado tunahitaji tuwashushe ni upumbavu tu sasa game ya mziki inakoelekea ni kama inakufa sababu wasanii wengi hawana hela ya kutoa ngoma kila siku siku hizi mashabiki wanasikiliza nyimbo wiki bas wameshaichoka kwahiyo kwenda na kasi ya sasa kama wcb wasanii wengi wameanguka ata ukiangalia tu
Kiba anatoa ngoma moja miezi 8 had mwaka and he still there kila mtu na mbinu yake kibiashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikutaka kumtaja Kiba kwenye main thread maana ningetukanwa sana...

Hao jamaa wana hasira kinoma..

Kila wanachojaribu fanya....goes down to waste.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ulimtaja fikirani kwenye andiko ukakwepa inatosha...king is always on WCB fans na hata boss wao nahis hahahahaaaa huyu jamaa n hatar sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la kuachana na Mkewe ...kama Kiba angekuwa na akili angeligeuza kuwa fursa...
Sema ndo hivyo.

Mondi kila changamoto anayoipata anaigeuza inakuwa pesa..

Watasubiri sanaa..
Watu wanatofautiana MALEZI mzee ndo maana juna wasanii hata wenza wao hatuwajui bt diamond kila mwanamke wake tz nzima itajua...so kila mtu na style yake kutokana na malezi na taratibu zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game ya bongo flavour haifi....

Ipo na itaendelea kuepo..

Waliofikiri kwamba wameishika game na wanaiongoza wao ndo wanapotea.

Kuna wasanii wapumbavu ambao bado wako controlled na hizo media..
So coz domo kakorofishana nao ndo wasanii wooote wakorofishane nazo boya kweli ww...mbona alianza jide bt diamond alikuwa anaendelea nao so nae angekaa pemben coz hawapatani na Jide?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hela inaendelea flow.. Na familia kibao zinamtegemea kuendesha maisha yao.
Kuna kitu wabongo wengi hawaelewi... Platnumz alipofika sasa ni kama kiwanda...

Kumbuka kwamba Zari ni balozi wa baby diappers.... Bado Zari anaendelea kupiga pesa kwa kutumia mgongo wa Platnumz..
Ana hela tangu hajakutana na NASIBU CHANDOMO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom