Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeandika Mwenyewe mkuu,ndio maana nimemsema na kiba usije ukaona mimi ni Team Kiba,sina team kabisa mie ni shabiki wa mziki mzuri,msanii yeyote akitoa mziki mzuri nitamsupport ila hao wasanii wenu wanatoa maboko sana miaka hii,domo wa number1 na kiba wa Rkelly sio hawa wa sasa....Jamaa yenu amebakiwa na fedha za utube,ringtones na matangazo tu,shows ni za kuforce tu wala sio fan demand.
Ndio maana nikakwambia kwa sasa KIBA na DOMO wote wanabebwa na mashabiki maandazi ,mambo ya mashindano ,nani ana views ningi Utube,nani anasemwa sana instagram au facebook badala ya kushindana nani ana tzo kora,nani ana tuzo BET,Nani ana tuzo MTV,nani katoa wimbo wa TAIFA etc
Game kwa sasa mkuu hailipi mkuu hilo lipo wazi mpaka sasa haijulikani fiesta ipo ama vipi lakini pia wasanii wapo kimakundi wengi hawana ubavu wakuwakimbia cloudsGame ya bongo flavour haifi....
Ipo na itaendelea kuepo..
Waliofikiri kwamba wameishika game na wanaiongoza wao ndo wanapotea.
Kuna wasanii wapumbavu ambao bado wako controlled na hizo media..
Hao ndio washauri wa DIMONDI,wanaambiana waingie youtube na ku click nyimbo za dimond kuongeza views basi wao wanaona inatosha ili wawecheke kina team kiba,ndipo walipofikia.hii akili mwanzisha thread hana
na hajui kuwa diamond alikuwa once anachukua tuzo za afrika, na alitakiwa awe kwenye global stage.
yeye anaona mafanikio ni kuwa no. 1 trending
mashairi ya sasa mabovu kabisa....
Diamond has gone global long ago....hii akili mwanzisha thread hana
na hajui kuwa diamond alikuwa once anachukua tuzo za afrika, na alitakiwa awe kwenye global stage.
yeye anaona mafanikio ni kuwa no. 1 trending
mashairi ya sasa mabovu kabisa....
Diamond has gone global long ago....
We jamaa vipi!??
WIVU NI STEJI YA MWISHO KABLA YA KUWA MCHAWI, HAKUNA ALIEFANIKIWA BILA MAADUI NA PIA BILA MARAFIKI, UKITAKA KUFIKA MBALI UNAHITAJI WATU WA KARIBA HIZO MBILI, SI KWA DIAMOND WALA KWA ALIKIBA WALA KWA MWANSIASA NA HATA KWAKO, HII FOMULA NI KWA KILA ALIE NA UCHUNGU YA KUFIKIA NA KUZIDI KWENDA JUU KIMAFANIKIO, HAIITAJI UUMIZE AKILI KUJUA KUWA ILI UFANIKIWE UNAHITAJI MARAFIKI ILI ILI UFANIKIWE ZAIDI UNAHITAJI MAADUI, UKIONA UNAPENDWA NA KILA MTU JUA UNA KASORO, SIONI HAJA YA KUUMIZA KICHWA WAKATI NI MFUMO WA MAISHA ULIVYO.Wadau wa Burudani nianze kwa kuwasalimu Igweee...!
Thread title is clear..
Sasa nisiwachoshe... Tushee maujuzi.. Je! Ni kwanini imeshindikana kumtoa Diamond katika maintsream...
Yani ni yeye tu kila mahali....
New Hits....
Gossips...
Infortaiments...
Events....
Love zones....
Parenting....
Showbizz... and all...
Yani ni kweli kwamba wasanii, waigizaji, ma slay queens, wambeaa.. Woote wameshindwa kabisa kumchallenge Mondi!? Mnamuacha tu atawale all the Industry ya burudani!?? Hivi mnajua hela ngapi anapiga!??
Licha ya kufungiwa katka Media kuu nchini Clouds na EATV n RADIO hajayumba. !??
Hivi hizi media zilizompa ban... Hazioni ni pesa ngapi zimeshapoteza na zitaendelea poteza kwasababu tu ya wivu na chuki za kishirikina.!??
Media hizi hazijui ni jinsi gani wapenzi wa WCB wanakosa burudani kutoka kwa upande huo!??
Okayy...! Labda mlipishana kibiashara.. Je! Wasikilizaji inawahusu nini!!??
All hit songs and events are now WCB.... why dont u come down and negotiate...for the good of yourselves and Tanzanians.
Tangu mwaka huu umeanza Sijaona wa kumlinganisha na Diamond Platnumz....
Its a high time now this Man receive a special Recognition..
Ntarudi...
We unaowataja wazamani angalia Sasa hiv walivyopoa na wengine wamemuama kiba wewe angalia thread zinazomsifia kiba hakuna akitokea mmoja ndo huyo Playboy anatangwa na members Mara ya mwisho umemuona nifah lini?
heshima yako kiongozi.... NimekuelewA VYEMAA.WIVU NI STEJI YA MWISHO KABLA YA KUWA MCHAWI, HAKUNA ALIEFANIKIWA BILA MAADUI NA PIA BILA MARAFIKI, UKITAKA KUFIKA MBALI UNAHITAJI WATU WA KARIBA HIZO MBILI, SI KWA DIAMOND WALA KWA ALIKIBA WALA KWA MWANSIASA NA HATA KWAKO, HII FOMULA NI KWA KILA ALIE NA UCHUNGU YA KUFIKIA NA KUZIDI KWENDA JUU KIMAFANIKIO, HAIITAJI UUMIZE AKILI KUJUA KUWA ILI UFANIKIWE UNAHITAJI MARAFIKI ILI ILI UFANIKIWE ZAIDI UNAHITAJI MAADUI, UKIONA UNAPENDWA NA KILA MTU JUA UNA KASORO, SIONI HAJA YA KUUMIZA KICHWA WAKATI NI MFUMO WA MAISHA ULIVYO.
Hiv niffah mapenzi kwa kiba yamebakia au nawe umeamua kuama kambi Kama wenzako?Nipo sana tu sema sina energy ya ‘ligi’ kama zamani.
Wewe unataka ashuke kimziki ?Wakumshusha hayupo, Ali kiba kaachana na mkewe lakini watu hata hawazungumzii. Wataroga saaana lakini mwisho wa siku aliyepewa kapewa [emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha ha hivi Ulipata jibu lako mzeePoa...
Labda nikuulize upo makini katka nyanja ipi !??
karibu tena.... u r missed alot
Hiv niffah mapenzi kwa kiba yamebakia au nawe umeamua kuama kambi Kama wenzako?