Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kujua Hilo kapitie uzi za Playboy ambaye ni fan wa kiba ambazo amemsifia kiba alafu angalia comments za members walivyomjibu.Huyu jamaa hakuna hata comment mmoja inayomuunga mkono zaidi ya watu kubeza kiba.Ohh... Mkuu wako weengiii... Ohoo...!!
ohooUkitaka kujua Hilo kapitie uzi za Playboy ambaye ni fan wa kiba ambazo amemsifia kiba alafu angalia comments za members walivyomjibu.Huyu jamaa hakuna hata comment mmoja inayomuunga mkono zaidi ya watu kubeza kiba.
Lakini hela inaendelea flow.. Na familia kibao zinamtegemea kuendesha maisha yao.
Kuna kitu wabongo wengi hawaelewi... Platnumz alipofika sasa ni kama kiwanda...
Kumbuka kwamba Zari ni balozi wa baby diappers.... Bado Zari anaendelea kupiga pesa kwa kutumia mgongo wa Platnumz..
Huu uzi umeandikwa na Tanasha?[emoji56][emoji56]
Kwanini unawaza sana kumshusha mtu ??
Kwanini unasumbuka sana watu wengine wakiamua kutojihisisha na kazi za mtu fulani kwasababu ya tofauti zao za kibiashara?
We unaowataja wazamani angalia Sasa hiv walivyopoa na wengine wamemuama kiba wewe angalia thread zinazomsifia kiba hakuna akitokea mmoja ndo huyo Playboy anatangwa na members Mara ya mwisho umemuona nifah lini?
Wadau wa Burudani nianze kwa kuwasalimu Igweee...!
Thread title is clear..
Sasa nisiwachoshe... Tushee maujuzi.. Je! Ni kwanini imeshindikana kumtoa Diamond katika maintsream...
Yani ni yeye tu kila mahali....
New Hits....
Gossips...
Infortaiments...
Events....
Love zones....
Parenting....
Showbizz... and all...
Yani ni kweli kwamba wasanii, waigizaji, ma slay queens, wambeaa.. Woote wameshindwa kabisa kumchallenge Mondi!? Mnamuacha tu atawale all the Industry ya burudani!?? Hivi mnajua hela ngapi anapiga!??
Licha ya kufungiwa katka Media kuu nchini Clouds na EATV n RADIO hajayumba. !??
Hivi hizi media zilizompa ban... Hazioni ni pesa ngapi zimeshapoteza na zitaendelea poteza kwasababu tu ya wivu na chuki za kishirikina.!??
Media hizi hazijui ni jinsi gani wapenzi wa WCB wanakosa burudani kutoka kwa upande huo!??
Okayy...! Labda mlipishana kibiashara.. Je! Wasikilizaji inawahusu nini!!??
All hit songs and events are now WCB.... why dont u come down and negotiate...for the good of yourselves and Tanzanians.
Tangu mwaka huu umeanza Sijaona wa kumlinganisha na Diamond Platnumz....
Its a high time now this Man receive a special Recognition..
Ntarudi...
Kwani zari ndio Nani? Hiv Kuna mtu anayezungumziwa kuliko diamond East Africa mbona hatusemi iwe zariBila Zari uzi haunogi
Zari ni maji usipoyanywa utaogea
Bro unaongea pumba Sana ndo tatizo la team kiba yaani wewe ukipata like kwa comment hii mshukuru mungu alafu unaonekana ujui kitu we baki jukwaa la siasa hapa upawezi.Kuna ubaya waki mu ignore hata kama anapiga hela na maisha ni yake?
si ndio unachomanisha na kutaka? hawa wengine acha wale wanachoweza hata kama ni kidogo
kwani unahisi diamond anakosa nini?😂😂....
Kusaga aliona mapema sana kuwa diamond ana roho ya kupambana, fighting na ni entertainer..akaamua kufungua WCB media....so mmiliki wa clouds ndio mmiliki wa wasafi.Unataka nini hapo tena?
Kwani zari ndio Nani? Hiv Kuna mtu anayezungumziwa kuliko diamond East Africa mbona hatusemi iwe zari
AiseHuu uzi umeandikwa na Tanasha?[emoji56][emoji56]
Hivi Diamond kumiliki 47% ya Wasafi media unaona ni ndogo?kwa kijana aliyeanzia chini bila chochote leo anamiliki media house unaona jambo dogo? Na pia dunia ya leo hakuna mtu anayefanya biashara peke yake,watu wanaunganisha nguvu mambo yanasonga,kwa anayemdharau Diamond kwa hili jambo atakua mpumbavu!Kuna ubaya waki mu ignore hata kama anapiga hela na maisha ni yake?
si ndio unachomanisha na kutaka? hawa wengine acha wale wanachoweza hata kama ni kidogo
kwani unahisi diamond anakosa nini?[emoji23][emoji23]....
Kusaga aliona mapema sana kuwa diamond ana roho ya kupambana, fighting na ni entertainer..akaamua kufungua WCB media....so mmiliki wa clouds ndio mmiliki wa wasafi.Unataka nini hapo tena?
Easy mzee....Kuna ubaya waki mu ignore hata kama anapiga hela na maisha ni yake?
si ndio unachomanisha na kutaka? hawa wengine acha wale wanachoweza hata kama ni kidogo
kwani unahisi diamond anakosa nini?😂😂....
Kusaga aliona mapema sana kuwa diamond ana roho ya kupambana, fighting na ni entertainer..akaamua kufungua WCB media....so mmiliki wa clouds ndio mmiliki wa wasafi.Unataka nini hapo tena?
Ni swala la muda tu, halafu unaposema imeshindikana kumshusha wakati tayari amesha jishusha mwenyewe!
Watu makini hatufuatilii upuuzi.
Wewe ndio unaona jamaa bado yupo kwenye mainstream ila jamaa kashatoka nje ya reli,usa kuna kitu kinaitwa RIAA ambacho moja ya kazi zake ni kufanya research ya music industry eg mauzo etc huku kwetu hatuna kingekuwepo wangeweka statistics ungeona jamaa alivyoshuka kimuziki.Wadau wa Burudani nianze kwa kuwasalimu Igweee...!
Thread title is clear..
Sasa nisiwachoshe... Tushee maujuzi.. Je! Ni kwanini imeshindikana kumtoa Diamond katika maintsream...
Yani ni yeye tu kila mahali....
New Hits....
Gossips...
Infortaiments...
Events....
Love zones....
Parenting....
Showbizz... and all...
Yani ni kweli kwamba wasanii, waigizaji, ma slay queens, wambeaa.. Woote wameshindwa kabisa kumchallenge Mondi!? Mnamuacha tu atawale all the Industry ya burudani!?? Hivi mnajua hela ngapi anapiga!??
Licha ya kufungiwa katka Media kuu nchini Clouds na EATV n RADIO hajayumba. !??
Hivi hizi media zilizompa ban... Hazioni ni pesa ngapi zimeshapoteza na zitaendelea poteza kwasababu tu ya wivu na chuki za kishirikina.!??
Media hizi hazijui ni jinsi gani wapenzi wa WCB wanakosa burudani kutoka kwa upande huo!??
Okayy...! Labda mlipishana kibiashara.. Je! Wasikilizaji inawahusu nini!!??
All hit songs and events are now WCB.... why dont u come down and negotiate...for the good of yourselves and Tanzanians.
Tangu mwaka huu umeanza Sijaona wa kumlinganisha na Diamond Platnumz....
Its a high time now this Man receive a special Recognition..
Ntarudi...
Mnhh...Wewe ndio unaona jamaa bado yupo kwenye mainstream ila jamaa kashatoka nje ya reli,usa kuna kitu kinaitwa RIAA ambacho moja ya kazi zake ni kufanya research ya music industry eg mauzo etc huku kwetu hatuna kingekuwepo wangeweka statistics ungeona jamaa alivyoshuka kimuziki.
Dimondi kashuka kimuziki sasa anabebwa na team maandazi yake tu,hawezi kupata shabiki mpya kwa MABOKO yake anayotoa kwa sasa,sio DOMONDI hata KIBAKULI naye kashaisha....Mda wao umeshapita!!!