Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Wakuu, ninajaribu kuwaza hapa sasa kwenye kuwaza kwangu ningependa niwashirikishe na nyinyi mpate kuwaza na tujiulize kwa pamoja kwenye kuwaza huku nipo sahihi au sipo sahihi au nimetafasiri vibaya hiki kitabu?.
IPo hivi, nimejaribu kuwaza pale bustanini Edeni ndugu yetu Adamu alimchukua Eva kama alivyoambiwa kua haifai yeye Adamu akae peke yake na upweke basi MUNGU atamfanyia "msaidizi" ambae ni Eva/Hawa baada ya hapo Adamu akapigwa usingizi akachomolewa ubavu wa kushoto ukafanyiwa mambo mambo na udongo ulipo duniani then Eva akatokea, hio ni kwa mujibu wa simulizi za Biblia na Quran. Kitabu cha Ma-buddha sijui kinasemaje kuhusu hili.
Sasa tutoke huko, tuje huku, nikaingia zaidi kwenye lindi la mawazo nikawaza na kujiuliza maswali zaidi kwamba Eva alipoumbwa aliumbwa katika mwili mkubwa km Adamu au alianza katika umbo la Mtoto? Naendelea kuwaza kwamba siku ile Eva anamkabidhi Adamu tunda lake alimege lilikua katika hali gani lilikua sealed au limeshamegwa? Usiniulize limemegwa na nani? Na je ni kweli kwamba Adamu alipopewa tunda akalimega na Mungu alipokuja na kukuta Adamu amelimega tunda lile la Eva Mungu alichukia na kupatwa na "wivu" sababu yeye ni Mungu mwenye "wivu" (Kutoka 20) kwanini Adamu kalimega lile tunda la Eva?
Najaribu kuwaza tu kwamba ni kweli Wivu ni Kidonda kisichopona wala kisichosikia Dawa yoyote? Wivu wa Mungu ndio uliosababisha awatimue Adamu na Eva bustanini baada ya kugundua Adamu kalimega tunda la Eva? Kama sio kweli kwanini Mungu alichukia tunda la Eva kumegwa na Adamu kiasi cha kumpa adhabu Adamu na Mkewe Eva/Hawa ikiwa kwamba aliruhusu Eva awe Msaidizi wa Adamu yaan amsaidie hata pale Adamu anaposhikwa na nyege, nimejaribu kuwaza sana hapo, sasa ikawaje Mungu akashikwa na wivu kiasi cha kumfukuza Adamu na Mkewe Eva pale bustanini kisa tu eti Adamu kalimega tunda la Eva?
Naendelea kuwaza tu wakuu, kwamba ni kweli Mungu alichukia Adamu kulila tunda la Eva kiasi kile mpaka akaona suluhisho pekee la yeye kupunguza hasira zake za wivu alionao km Mungu mwenye wivu ni kuwatimulia mbali huko km wanaenda kupeana matunda basi wakapeane nje ya bustani huko?
Naendelea kuwaza sana wakuu, naomba kuwashirikisha tu.