Hivi ni kweli maziwa huharibu dawa?

Madonda ya tumbo yalikuwa yakitibiwa na triple therapy zamani ambazoni
Ant acid
Amoxycilline
And metronidazole.

Current regime have changed it seems that H. Pyroli are sensitive to
Tinidazole{metronidazole}
clarithromycine

In fact mnachobishana ni regime ya zamani na ya sasa
 
Dawa zetu hazinaga makasha yake tunauziwa kwenye vibahasha, halafu yule muuzaji anayejiita dokta wakati miezi miwili nyuma alikuwa ni mlinzi wa hilo duka anacharaza sana mwandiko ili tushindwe kusoma jina la dawa. Unaambulia kuona 2x3 baaaaas. mwaJ
Kama unaweza kuchangia hapa jf nadhani kugugo unaweza pia
 
Nimekunywa Maziwa mgando baada ya mda nikameza flucamox na Metrinidazole je nitakuwa nimeuwa nguvu ya dawa,
Kama yamesha chacha hayana effect kwenye dawa kwa kuwa tayari yapo kwenye acidic madeum
 
Vipi kuhusu mtindi?Je nao una effect yoyote kwa hizo dawa ambazo mtu hapaswi kutumia na maziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…