Hivi ni kweli maziwa huharibu dawa?

Hivi ni kweli maziwa huharibu dawa?

Ni muda gani sasa naruhusiwa kunywa maziwa baada ya kumeza dawa hzo zisizoruhusu maziwa?
kwanza maziwa yanaathiri dawa ikiwa tumboni tu na sio kwenye damu, kwanza tujue hilo. pili dawa kutoka tumboni hadi kwenye damu mara nyingi huchukua nusu saa hadi saa moja. hivyo ni vema kusubiri saa moja hadi mbili ndiyo unywe maziwa.

kuna wale wakinywa dawa hutapika. huwa tunasema ukitapika kabla ya nusu saa rudia dozi ila baada ya nusu saa usirudie.
 
Na vipi kuhusu unywaji wa pombe,,nipe elimu hapo mkuu
 
Lakini ukinunua dawa ,tazama karatasi yake utaona contraindications: mfano usitumie kama mjamzito.
Pia drug interaction: watakuambia Ni dawa gani usichanganye.
Food interaction: vyakula vinavyohusiana

Dawa zetu hazinaga makasha yake tunauziwa kwenye vibahasha, halafu yule muuzaji anayejiita dokta wakati miezi miwili nyuma alikuwa ni mlinzi wa hilo duka anacharaza sana mwandiko ili tushindwe kusoma jina la dawa. Unaambulia kuona 2x3 baaaaas. mwaJ
 
Last edited by a moderator:

Bujibuji tatizo lako unapenda kununua zile dawa za kuchotewa kwa kijiko toka kwenye kopo kubwa. Lol!
 
Last edited by a moderator:
kwenye nomenclature ya dawa kuna sababu mbalimbali kama chemical constituents, clinical use au mode of action. kwa hizi dawa za za kupunguza acid tunaziname kutokana na mode of action..

What do you mean ...
NOMENCLATURE according to chemical constituent , clinical use mode of action .did you mean CLASSIFICATION of drugs.
OK omeprazole are belong to PPI as mode of action
And aimed to reduce secretion of ACID .therefore wether it's reduces secretion of acid or it's neutralize acid or it increases the pH are termed as ANTIACID . Therefore grouping OMEPRAZOLE as ANTIACID is correct sir ,otherwise you go back to your LITRATURE and find the meaning of ANTIACID and look example of anti acid available
 
Sio kweli kwamba maziwa yanaharibu dawa zote bali ni baadhi ya dawa...
  • kwa watu wenye hypothyroidsm na wanaotumia levaxin(thyroxin) hawatakiwi kunywa pamoja na maziwa au calcium products/mineralsupplements zilizo na aluminium,magnesium nk kwasababu zinapunguza absorption ya thyroxin.Unatakiwa kuwa na time-intervall at least ya masaa manne kati ya thyroxin na maziwa
  • Vilevile kwa wanaotumia biphosphonates kwaajili ya osteoporosis hawatakiwi kutumia dawa hio pamoja na maziwa au calsium products.Watumiaji wengi wa biphosphonates,wanaepuka kutumia calcium products kwenye ile siku wanazokula hizo dawa.
  • Na kwa most antibiotics ziluzotajwa hapo juu haswa za group la tetracyclines(mf doxylin,doxycyclin),ciprofloxacin/ciproxin unatakiwa uwe na time-intervall ya masaa 2-3 ukila dawa na ukitumia maziwa au products za maziwa na mineralsupplements zilizotajwa(Al,Mg) au ANTACIDS ni dawa zinazoneutralize acid nazo zina carbonates ni sodium bicarbonate,magnesium carbonate na almuminium carbonate. Base neutralizes acid. Na hazitakiwi kutumiwa pamoja since zinategeneneza complex na hizo dawa na inakuwa haina effect kwasababu haiwezi kuwa absorbed.
 
umeeleza vema base ndiyo tunaita antiacid kwa sababu ya mode of action, omeprazole ni PPI na tuna H-[SUB]2 [/SUB]antagonist. zote zinapunguza acid lakini hatuiti zote antacid. best regimen ya kutibu PUDD inabase kwenye clarithtromycin na unadd amox. metro inatumika kwa watu ambao wana allegy na penicillin. ukitoa clarithromycin unapunguza nguvu ya regimen.clarithro ni lazima iwepo.

mh nakubaliana na ww, proton pump inhibitors (PPI) zina inhibit reseptor kuproduce hydrogen hence haiwezi kuungana na chloride kutengeneza HCl ni group linalojitegmea(PPI) na hio H[SUB]2[/SUB] reseptor antagonists ni group linalojitegemea since mechanism yake ni nyingine kabisa lkn ofcoz zote zinapunguza secretion ya HCl acid lkn hazineutralize!
 
Sorry for coming late.
Maziwa hayana effect kwenye dawa za minyoo. Ni mapoke ya zamani kuwa ukinywa dawa za minyoo usitumie maziwa. Huenda dawa za zamani zilikuwa na effect (sijazisoma hizo dawa)
 
kila mtu amejibu vyema kwa nafasi yake.... ila kwa ushauri wangu usipende kununua dawa kila pharmacy ...chagua duka lenye wataalamu rafiki kwa wateja na wanaokupa maelezo ya msingi utumiapo dawa. Na pia ukienda kununua dawa kama huna cheti kuwa muwazi ni dawa unatumia au umetumia karibuni itamsaidia muhusika kukupa msaada sahihi kwa wakati sahihi
 
kuna mzee mmoja alinambiaga eti unaeza kunywa bia na dawa zote na ukawa poa. Ila ukinywa flagyl na bia kaa karib na jeneza. Hii story ina ukwel wakuu?

hata mie nilisikia hivyo.nikaambiwa hata kama uliitumia wiki2 zilizopita ukinywa pombe kaa hapohapo karibu na.....
 
Kamanda,
Si kweli dawa zote zitakuwa hazifanyi kazi ukinywa maziwa wakati unazitumia. Kwa uelewa wangu ni dawa mbili tu ambazo hushauriwi unywe maziwa pindi ukiwa unazitumia
  1. Tetracycline
  2. Antiacid (alminium ones)

Karibu kama una maswali zaidi

Naskia na za minyoo si ndio dr au
 
Sio kweli kwamba maziwa yanaharibu dawa zote bali ni baadhi ya dawa...
  • kwa watu wenye hypothyroidsm na wanaotumia levaxin(thyroxin) hawatakiwi kunywa pamoja na maziwa au calcium products/mineralsupplements zilizo na aluminium,magnesium nk kwasababu zinapunguza absorption ya thyroxin.Unatakiwa kuwa na time-intervall at least ya masaa manne kati ya thyroxin na maziwa
  • Vilevile kwa wanaotumia biphosphonates kwaajili ya osteoporosis hawatakiwi kutumia dawa hio pamoja na maziwa au calsium products.Watumiaji wengi wa biphosphonates,wanaepuka kutumia calcium products kwenye ile siku wanazokula hizo dawa.
  • Na kwa most antibiotics ziluzotajwa hapo juu haswa za group la tetracyclines(mf doxylin,doxycyclin),ciprofloxacin/ciproxin unatakiwa uwe na time-intervall ya masaa 2-3 ukila dawa na ukitumia maziwa au products za maziwa na mineralsupplements zilizotajwa(Al,Mg) au ANTACIDS ni dawa zinazoneutralize acid nazo zina carbonates ni sodium bicarbonate,magnesium carbonate na almuminium carbonate. Base neutralizes acid. Na hazitakiwi kutumiwa pamoja since zinategeneneza complex na hizo dawa na inakuwa haina effect kwasababu haiwezi kuwa absorbed.

umeeleza vema ndugu...
 
MI HUWA DAWA MSETO BAADA YA KUMEZA KWA KUTUMIA MAJI,, HUWA NAMEZEA NA MAZIWA,, NIMEAMBIWA INASAIDIA DAWA mseto KUFANYAKAZI KWA UFANISI
 
Sio kweli kwamba maziwa yanaharibu dawa zote bali ni baadhi ya dawa...
  • kwa watu wenye hypothyroidsm na wanaotumia levaxin(thyroxin) hawatakiwi kunywa pamoja na maziwa au calcium products/mineralsupplements zilizo na aluminium,magnesium nk kwasababu zinapunguza absorption ya thyroxin.Unatakiwa kuwa na time-intervall at least ya masaa manne kati ya thyroxin na maziwa
  • Vilevile kwa wanaotumia biphosphonates kwaajili ya osteoporosis hawatakiwi kutumia dawa hio pamoja na maziwa au calsium products.Watumiaji wengi wa biphosphonates,wanaepuka kutumia calcium products kwenye ile siku wanazokula hizo dawa.
  • Na kwa most antibiotics ziluzotajwa hapo juu haswa za group la tetracyclines(mf doxylin,doxycyclin),ciprofloxacin/ciproxin unatakiwa uwe na time-intervall ya masaa 2-3 ukila dawa na ukitumia maziwa au products za maziwa na mineralsupplements zilizotajwa(Al,Mg) au ANTACIDS ni dawa zinazoneutralize acid nazo zina carbonates ni sodium bicarbonate,magnesium carbonate na almuminium carbonate. Base neutralizes acid. Na hazitakiwi kutumiwa pamoja since zinategeneneza complex na hizo dawa na inakuwa haina effect kwasababu haiwezi kuwa absorbed.
Nimekunywa Maziwa mgando baada ya mda nikameza flucamox na Metrinidazole je nitakuwa nimeuwa nguvu ya dawa,
 
Maziwa gani unayoyaongelea
Ya mwanamke kwa mtoto? Au ya wanyama kama ngo'mbe?

Niongelee maziwa ya wanyama kama ngo'mbe
Unatakiwa usome maelezo ya matumizi ya dawa

Kwa kawaida dawa nyingi hufyonzwa tumboni , pindi tumbo lipo ktk acidic medium kwa dawa hizi haziwezi kufyonzwa kama tumbo liko ktk basic medium

Maziwa huwa yapo ktk basic media kwa hiyo dawa zote ambazo hufyonzwa ktk acidic media haziwezi kufyonzwa kwa hiyo dawa hizo ukinywa na maziwa ujue umekula makapi
 
Back
Top Bottom