Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
kwanza maziwa yanaathiri dawa ikiwa tumboni tu na sio kwenye damu, kwanza tujue hilo. pili dawa kutoka tumboni hadi kwenye damu mara nyingi huchukua nusu saa hadi saa moja. hivyo ni vema kusubiri saa moja hadi mbili ndiyo unywe maziwa.Ni muda gani sasa naruhusiwa kunywa maziwa baada ya kumeza dawa hzo zisizoruhusu maziwa?
kuna wale wakinywa dawa hutapika. huwa tunasema ukitapika kabla ya nusu saa rudia dozi ila baada ya nusu saa usirudie.