Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Punguza ubishi...kuna swahaba alimuomba mtume (SAW) amuombee dua ili awe tajiri ...baada ya huyo swahaba kumganda sana mtume akakubali kumuombea dua na mwisho wake akaachana na mambo ya dini.

akapigwa marufuku tangu wa kati wa mtume hadi swahaba ally yule hakukubaliwa kupokelewa sadaka yake.
kama mtume alimuombea dua na akawa tajiri vp hawa wanazuoni?
 
Mkuu umeongea point ila katika biashara zetu za kiafrika kuna kitu kinaitwa kinga ya biashara .unaona wenzetu akina Elon Musk wanakitu kinaitwa haki miliki shida inaanzia hapa kwenye ushindani app Leo zina trend Sana vipi Kama Elon Musk Hana hakimiliki ya x ina maana na mimi naweza buni app ya x nikawa salama? Mkuu tukitaka kutoboa Kwa biashara ya uwakala wa kuuza makopo tu bado kuna watu watataka kuturoga.
 
Hatakuelewa,kuna mtu kamwambia eti hajakua.
 
Hata wewe una njaa ndio mana uko hapa unaulizia mambo ya uganga kumamakeh. Kua mpole Sasa uelekezwe na manguli au tukuache ukawe mfagia choo wa hamisa mobeto na azizi ki.
Ha ha ha acha hasira mkulumgwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…