Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

Waganga ni watu wabishi mno na mara nyingi wanahisi wapo sahihi kumbe laah.
Kusomewa ruqya inafaa kwa mgonjwa, mtu aliye patwa na hasad n.k.
Lakini huwezi sema eti mfanya biashara akabustiwe na mganga kivipi? Soma dini vizuri ndo uje utoe hoja, anayetoa rizki ni Mungu pekee vinginevyo hiyo inaingia katika shirki tena shirki kubwa.
Point zako ni less sana yaan hamna hoja yenye mashiko.
Muogopeni Mwenyezi Mungu enyi mnao jiita waganga wa jadi.
Punguza ubishi...kuna swahaba alimuomba mtume (SAW) amuombee dua ili awe tajiri ...baada ya huyo swahaba kumganda sana mtume akakubali kumuombea dua na mwisho wake akaachana na mambo ya dini.

akapigwa marufuku tangu wa kati wa mtume hadi swahaba ally yule hakukubaliwa kupokelewa sadaka yake.
kama mtume alimuombea dua na akawa tajiri vp hawa wanazuoni?
 
Kwanza Mungu hayupo.

Hakuna utajiri wa aina yeyote ile unaotoka kwa Mungu.

Utajiri ni wa wanadamu.

Utajiri unatoka kwa wanadamu.

Utajiri upo kwa wanadamu.

Hakuna utajiri wa kishetani, freemason, Illuminati, ritual, kichawi au kishirikina.

Utajiri haupatikani kwa uchawi, uganga au ushirikina.

Hakuna Mungu anayetoa utajiri.

Hakuna Shetani anayetoa utajiri.

Siku zote utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina husikika tu kwa watu maskini hasa waafrika maskini choka mbaya, pangu pakavu tia mchuzi.

Huwezi kusikia hata siku moja kwamba utajiri wa Mo Dewji umetokana na uchawi au ushirikina. Bali Mo Dewji alipewa mtaji mkubwa na baba yake. Na utajiri wake unatokana na makampuni yake makubwa ya vinywaji na chakula hapa nchini.

Huwezi kusikia kwamba Elon musk utajiri wake unatokana na uganga au ushirikina. Utajiri wa Elon musk unatokana na kampuni zake za Space X, Tesla na Twitter.

Huwezi kusikia kwamba utajiri wa Jeff Bezos ulitokana na uchawi, uganga au ushirikina. Bali utajiri wa Jeff Bezos umetokana na kampuni yake ya Amazon.

Huwezi kusikia kwamba utajiri wa Aliko Dangote umetokana na ushetani au ushirikina. Bali utajiri wa Dangote umetokana na viwanda vyake vikubwa vya saruji na makampuni yake.

Halafu unakuta kuna makapuku huko wana aminishana kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina.

Chaku shangaza bado umaskini wao upo vilevile.

Ukiwauliza kwa nini wasiutumie huo utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina kuwa matajiri kama Bakhressa wanakwambia wana ogopa masharti...!!

Ndio mentality za waafrika hizi..!!
Mkuu umeongea point ila katika biashara zetu za kiafrika kuna kitu kinaitwa kinga ya biashara .unaona wenzetu akina Elon Musk wanakitu kinaitwa haki miliki shida inaanzia hapa kwenye ushindani app Leo zina trend Sana vipi Kama Elon Musk Hana hakimiliki ya x ina maana na mimi naweza buni app ya x nikawa salama? Mkuu tukitaka kutoboa Kwa biashara ya uwakala wa kuuza makopo tu bado kuna watu watataka kuturoga.
 
Mkuu umeongea point ila katika biashara zetu za kiafrika kuna kitu kinaitwa kinga ya biashara .unaona wenzetu akina Elon Musk wanakitu kinaitwa haki miliki shida inaanzia hapa kwenye ushindani app Leo zina trend Sana vipi Kama Elon Musk Hana hakimiliki ya x ina maana na mimi naweza buni app ya x nikawa salama? Mkuu tukitaka kutoboa Kwa biashara ya uwakala wa kuuza makopo tu bado kuna watu wata takakuturoga.
Hatakuelewa,kuna mtu kamwambia eti hajakua.
 
Sio kweli.

Msiwe mnazungumza vitu ambavyo hamna experience navyo. Mlisharirishwa kuwa kila mganga lazima akupe masharti magumu!!!

Ni vile tu tukishampata mganga mzuri hatutaki watu wengine wamjue.

Mkuu kuna waganga wanajua, wanajua halafu wanajua tena!!!!! Kwa 50k tu nawapelekea moto washindani wangu wa biashara.

Na sitoi namba ng'oo hata unihonge laki
😂😂😂
 
Back
Top Bottom