Hivi ni kweli Msanii Darasa anakula unga?

Hivi ni kweli Msanii Darasa anakula unga?

Na wachangiaji humu leo na wao kama wana wenge
 
hizi ndo stori za wanaume wa Daslam, they discuss people and rumours insteady of ideas and facts.

Ngw'ana Kabula
Ungeenda siasani ndio kuna kufaa huku hizi ndio habari zake
 
Ni mshkaj wangu wa damu sema yy mtu wa gambe tu
 
Mtaani kuna habari zinasambaa kwa kasi kuwa msanii wa hit song ya muziki, Msanii Darasa anakula unga. Juzi kati nikafanikiwa kumuona kwenye Clouds Tv kwenye show ya jiwe la mwezi pale Morogoro jamaa amepungua sana halafu muda wote alikuwa ana wenge sana.
Je tetesi hizi zina ukweli kiasi gani?
ha ha ha, makalio ya sufuria hayaogopi moto
 
Any thing is possible in music industry.
 
Mda sana inasemekana hivyo muda utatuambia ukifika unga una mwisho wake kama ya kina chid yalisemwa hivi hivi mwisho wake tumejionea

Unga ni Sawa na Cream ya kujichubua sura.

Kwa sababu, baada ya muda fulani ngozi huchoka na kushindwa kuchubuka tena bali huanza kuoza.

Kwa hiyo, hata huyo class inatajulikana tu.
 
Unga ni Sawa na Cream ya kujichubua sura.

Kwa sababu, baada ya muda fulani ngozi huchoka na kushindwa kuchubuka tena bali huanza kuoza.

Kwa hiyoz hata huyo class inatajulikana tu.
Hakika
 
Mtaani kuna habari zinasambaa kwa kasi kuwa msanii wa hit song ya muziki, Msanii Darasa anakula unga. Juzi kati nikafanikiwa kumuona kwenye Clouds Tv kwenye show ya jiwe la mwezi pale Morogoro jamaa amepungua sana halafu muda wote alikuwa ana wenge sana.
Je tetesi hizi zina ukweli kiasi gani?
alafu kuna mibwege humu inanyanyua pua eti darasa ni mkali kuliko joh makini..chalii ya daraja bee,mwamba wa kaskazini na bongo tz kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom