Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu,, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.
Ukichwa unatoka wapi hapo??Ila hii nchi kila mtu ameshakuwa na aina fulani ya ukichaa wake kutegemeana na aina ya tabu na ziki zake
Anyway maisha yaendelee
SijajuaKumbe ndio maana hata maisha yake kaamua kuya-bet
Nataka kujua mtu anaweza kuishi kwa kubeti tu?Usiishi maisha ya kubahatisha,
Ukitegemea kamari jua kwamba wewe na uchizi mmetenganishwa na mstari mwembamba sana!
Kwanini?Haiwezekani
Hapana mkuu ila unaweza tu kuendesha maisha yako kwa kumtumaini na kumtegemea mwamba mkombozi wa waislamu kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17....nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu,, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo betting ndio anaendesha maisha yake.
Sasa nimetafakari,, hivi ni kweli hii??,, mtu anaweza kuishi kwa kupitia betting bila kufanya shughuli nyingine za kumuingiza kipato.
NB😛pia huyo jamaa ni most wanted na watekaji wa nchi hii ( kwa madai yake mwenyewe ),,, so inawezekana kwa sababu kazi yake ni hiyo ya betting inamsaidia asikamatwe na watekaji??
Hyo haiwezekani mwamba, kuna kuchaniwa mkeka...Nataka kujua mtu anaweza kuishi kwa kubeti tu?
Huyo jamaa Sativa17 mikeka yake mingi inatiki,anaweka mzigo laki tano au milioni moja anakula mara mbili....ata mkeka ukichanika bado hana hasara mara anakula sanaHyo haiwezekani mwamba, kuna kuchaniwa mkeka...
Kama unamdai mtu anakwamby subiri jumapili, ikifka anakwamby naomba wiki moja, jua huyo anabet
Habeti kwa pesa halisiHuyo jamaa Sativa17 mikeka yake mingi inatiki,anaweka mzigo laki tano au milioni moja anakula mara mbili....ata mkeka ukichanika bado hana hasara mara anakula sana
Umejuaje yupo kenya??, anaweza kuwa yuko bongo amejichimbia tu anakula pesa za mhindi mdogomdogoWrite your reply...huyo dogo anatumika ila sasa wamemkimbizia Nairobi yupo na kina maria sarungi nawaendeleza harakati zao
kwa betting ni uongo mtupu na pili hizi ndiyo akili zinazotaka mabadiliko sizani kama nchi itakuwa ktk mikoni salama ikienda kwa opponents.
Kubeti kwa kuweka pesa mkuuBetting ni biashara ya pesa nyingi sana . Hujawa specific kuwa anaendesha maisha yake kwa biashara ya betting ama kubeti. Kama nikubeti nikiti kigumu pengine kisichowezekana lakini kama ni biashara ya betting inaweza kumuingizia pesa ambayo pengine hata ukoo wenu hakuna ambaye amewahi kuishika. Letsay anafanga mojawapo ya hizi kazi 1. Influencer wa kampuni za betting, affiliate marketing, social media marketing hiI zote zinaweza kuendesha maisha yake kwa kiasi kikubwa ukizingatia ana follower wakutosha
Kuna kitu unakitaka..fanya hv kama haujawahi kubeti, tafuta hata 2k tu bet halafu kesho urudi hapa.Huyo jamaa Sativa17 mikeka yake mingi inatiki,anaweka mzigo laki tano au milioni moja anakula mara mbili....ata mkeka ukichanika bado hana hasara mara anakula sana