TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Majibu haya hutokea kutokana na hisia za maumivu ya shida ambayo mtu anapitia lakini ukweli ni kwamba MUNGU hana upendeleo kabisa ,tupo sawa kwa MUNGUSio kama nakufuru
Lakini jibu ni ndio .
Kuna watu toka.kuiona dunia mpka Leo hawajawahi kuona kitu kinachoitwa shida
Babu zetu watahukumiwa kwa matendo yao maana sheria tayari zilikuwa zimeandikwa katika mioyo yao kabla ya ujio wa dini.Jiulize ni kwanini.dini sisi tumeletewa uku atukuwa na mtume muafrica ndo utapata jibu..kwaiyo babu zetu wenye walikufa dini azijafika na walikula nguruwe.bila kujua ni alamu.watachomwa.moto
Ikiwa wazazi wamepambana kweli kweli na kuweka mazingira mazuri ya watoto wao, utasemaje kuwa Mungu kawapendelea?Habari wadau!
Huwa namtafakari sana Mungu,je ni kweli hana upendeleo kwa wale wanao amini kama kuna Mungu naombeni jibu.
Binafsi naona kama kuna watu wamependelewa sana wao na familia zao zimependelewa naona mpaka uzao wao pia unazidi kupendelewa.
Au kuna Miungu tofauti tofauti kila mtu anaabudu wake??
Habari wadau!

AmenMimi amenioendelea zaidi, sikustahili hata kuwepo muda huu
Je wale wanaopata mabalaa si ni binadamu kama sisi tu? Au unadhani wanastahili matatizo?Muda mwingine shida tunazopitia hufanya kuona kama Mungu ametuacha lakini kama tungepewa macho yakuona matendo ya Mungu atendayo kwetu na hata mabalaa anayotuepusha nayo ,asee yatupasa kumshukuru Mungu kwa kuwa bado yu hai na mzima wa afya tele