Hivi ni kweli Mungu yupo bara la Asia tu?

Nimeona tamaduni za Kiyahudi,Uislamu na ukristo chimbuko lake ni Asia.
Hivi ni kweli Mungu aliona muhimu kuwaleta mitume kwa bara hilo tu?

Majibu tafadhali.
Mungu ni muhusika wa hadithi ya kutungwa na watu tu.

Na kila utamaduni una hadithi yake ya Mungu.

Sema wengine walishinda vita nyingi huko nyuma, hadithi ya Mungu wao ikatapakaa na kukubalika zaidi.
 
Mungu inavyoonekana alikata tamaa mapema kujishughulisha na waafrika baada ya kuona waafrika hatupo serious.

Kwasababu vitabu vya dini vinasimulia kuwa hadi sisi waafrika miaka ya mwanzoni tulikuwa wazungu.

Huu uniga tulionao tumeupata kwa kiburi chetu kwa kupenda mzaha kwenye vitu serious.

Genesis ya 9:20-22 inaelezea maisha baada ya gharika, Noah alilewa mvinyo na kujikuta amepoteza consciousness na kukaa uchi.

Moja ya watoto wake aitwaye Ham alipomuona dingi yuko tila lila baada ya kupiga miwa akawa anamcheka.

Hakuishia tu kumcheka bali alienda kuwaita na ndugu zake wengine wawili ambao ni Shem na Japhet.

Hai walipokaribia na alipo Mzee wao wakastuka na kugeuka nyuma kisha kuchukua nguo wakirudi kinyume nyume kwenda kumsitiri baba yao.

Dingi baada ya pombe kumtoka ndio akapata ghadhabu na kuamua kumlaani yule mtoto aliyemcheka wakati akiwa uchi aitwaye Ham.

Moja ya laana aliyopewa ni pamoja na kizazi chake chote kitakuwa cheusi, kisha atakuwa tegemezi kwa hao ndugu zake wawili ambao walienda kumsitiri baba yao.

Hao wawili waliokuwa blessed ndio wazungu wa sasa, then mimi na wewe ndio huyo Ham.
 
kwa hyo baba etu sham?

nifunge kabma sasa
 
kwa hyo baba etu sham?

nifunge kabma sasa
Yeah

Na kwakua sisi binadamu kiujumla tumerithi dhambi kutoka kwa Adam na Eve

Basi unashauriwa wakati wa kutubu dhambi zako anza kutubu hiyo ya urithi.

Lakini kwa ishu ya sisi waafrika maana yake unapotubu tutakuwa na kazi ya ziada ya kutubu dhambi ya pale eden lakini na ile laana tuliyopewa na Noah baada ya kumcheka.

Ukitoka hapo sasa ndio unaweza kuendelea kutubu dhambi zako ulizozifanya wewe kama wewe.
 
Mungu ni muhusika wa hadithi ya kutungwa na watu tu.

Na kila utamaduni una hadithi yake ya Mungu.

Sema wengine walishinda vita nyingi huko nyuma, hadithi ya Mungu wao ikatapakaa na kukubalika zaidi.
South Afrika kuna kanisa linaitwa " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM"

Wana amini kuwa mwanamuziki Rapa wa kike kutoka Marekani aitwae Lil ' Kim ndie Mungu.

Wanamuabudu. Wana sala yao inaitwa " THE HOLY LITANY OF GODDESS LIL'KIM" wanasema ina nguvu kushinda sala zote unazo zijua wewe na inatoa majibu ya maombi yote na inasolve matatizo yote.

Taarifa zaidi kuhusu kanisa hili zinapatikana Facebook kwenye Group linaitwa 👇👇

SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP.

Nimeambatanisha na video kuhusu hilo kanisa 👇👇👇

( nimeshindwa ku upload video kuhusu kanisa hilo ila ukiingia Facebook kwenye hilo group hapo juu 👆👆👆 utaiona
 
Walindwe uhuru wao wa kuabudu.
 
Uumbaji wa binadamu ulifanyika mashariki ya Kati, upo ushahidi wa bustani ya edeni, safina ya nuhu n.k

Mungu akawatawanya walipojegha mnara wa babeli ili wakae pamoja wasisambae duniani. Wakati huo walikuwa lugha moja.

Mungu akachafua lugha, huyu akisema leta jembe anapewa tofari. Watu walioongea lugha moja wakawa wanajitenga kwenda mbali kuanzisha makazi mapya

Siongelei kina zinjanthropus, (evolution) naongelea creation
 
mungu yupo mashariki ya mbali tu?
 
Back
Top Bottom