Hivi ni kweli nchi imeoza kiasi hiki?

Hivi ni kweli nchi imeoza kiasi hiki?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Habari wanajamvi, siku mbili zilizopita nilienda katika hospitali ya wilaya Tandahimba.

Nina tatizo ambalo linahitaji upasuaji mdogo lakini nilipofika nikaambiwa sitaweza kufanyiwa kwani hospitali haina GAUZE, daktari akaongeza kuwa hili ni tatizo la nchi nzima kwani hata huko MSD zimeisha.

Hivi ni kweli tumefikia hapa? naomba mnifahamishe wanajamvi kama maeneo mengine kuna tatizo kama hili.
 
Habari wanajamvi, siku mbili zilizopita nilienda katika hospitali ya wilaya Tandahimba. Nina tatizo ambalo linahitaji upasuaji mdogo lakini nilipofika nikaambiwa sitaweza kufanyiwa kwani hospitali haina GAUZE, daktari akaongeza kuwa hili ni tatizo la nchi nzima kwani hata huko MSD zimeisha.Hivi ni kweli tumefikia hapa? naomba mnifahamishe wanajamvi kama maeneo mengine kuna tatizo kama hili.
Yawezekana,Polisi,Mahakama hazina vitendea kazi kalamu,karatasi n.k.Pesa zote wanagawana posho za vikao na marupurupu mengine,pole sana mkuu ndio TZ
 
Ni kweli mi nilifika hosp ya mkoa moro nikakuta hawana gauze.

Mbaya zaidi kila kitu anachotakiwa kufanyiwa mgonjwa lazima anunue including dawa, afu wanasema watoto<5, wajawazito na wazee huduma bure, afu mahitaji ya hospital hakuna wanabaki wahudumu wa afya kutukanwa eti hawatimizi wajib, watatimizaje wakati vitendea kazi hakuna.

Hata dawa za emergence hakuna mgonjwa akifika emergence mpaka ndugu wakimbie wanunue dawa alizoandika dr ndo ahudumiwe. Sasa mpaka arudi simgonjwa kisha passaway.

Jk anatutesa sana, nataman hata ajiuzulu sasa ili tubadili uongozi mwingine
 
Hata Muhimbili hakuna gauze wala iodine, twafa mwakahuu, wao(viongozi wakiongozwa na kikwete) mafua tu Ulaya.
 
ucshangae awatanii hao nikweli akuna wala ucpoteze mda wako hii ndio tanzania zaidi ya uijuavyo
 
Nakumbuka mojawapo ya ahadi za kutaka uraisi zilikuwa kwamba kila mkoa utakuwa na hospitali ya rufaa yenye hadhi kama Muhimbili. Vilevile tuliahidiwa Bajaj 400 kama ambulance.Sijui kama yameshafanyika hayo au bado yapo katika mchakato?
 
Kwani JK alivyopigwa chini 2010 presidential elections mnafikiri mchezo! Watu wamechoka na viongozi wasiojali maslahi ya wananchi.
 
Habari wanajamvi, siku mbili zilizopita nilienda katika hospitali ya wilaya Tandahimba. Nina tatizo ambalo linahitaji upasuaji mdogo lakini nilipofika nikaambiwa sitaweza kufanyiwa kwani hospitali haina GAUZE, daktari akaongeza kuwa hili ni tatizo la nchi nzima kwani hata huko MSD zimeisha.Hivi ni kweli tumefikia hapa? naomba mnifahamishe wanajamvi kama maeneo mengine kuna tatizo kama hili.

Gauze na madawa mengine yakinunuliwa yanahamishiwa kwenye pharmacy zao. Ukifika hospitali wanakuambia hapa hazipo lakini nenda kwenye pharmacy ileee utapata. Katika hili jamii ndo tulaumiwe kwa kulea hali hii katika nchi hii. Kila mtu anajiona hahusiki na kuwa shape hawa watumishi wetu waliojigeuza kuwa ma master wetu. Na ni jamii hii hii tunawa encourage hawa jamaa waibe. Mtu akiajiriwa kama civil servant na maisha yake yawe chini tunamcheka na kumuona kafulia na hatumii akili yake kula kwa urefu wa kamba yake. Akila kwa kamba yake mpaka mpaka majani yanaisha tunalalamika. Kabla ya kulaumu hali hii tujiulize ni nini tumefanya japo kuwastua hawa 'wezi'? Kama tukiona kiburi hawaelewi kwa nini tanzania isiwe misri leo? Hii kulalamika na kwenda kulala majumbani kwetu haitusaidii kitu, tuchukue hatua sasa! Mifano tunayo, INAWEZEKANA!
 
mkuu acha uwongo!gauze hazipatikani hata MSD na private hospitals.kuna member alishawahi kuanzisha thread kuhusiana na hili suala.reason inayosemwa na ile meli ya madawa na vifaa vya tiba ilikwama kufika.
 
Hata ma-dr na wauguzi hawatoshi na JK hawezi kuajiri kwa kuwa hana hela.
 
Issue ya huduma za hospitali Tanzania ni scandal. Nashangaa watu hawajaishtukia kiukweli. Ukiugua siku hizi ni very risky kwa sababu hakuna uhakika wa kupata tiba sahihi hata kama una hela za kuhonga watoa huduma. Watoa huduma ni wachache na wengi wao ujuzi wao unatia mashaka na utendaji wao ni wa ubabaishaji. Kukosa gauze MSD hakuna anayekosa usingizi from the Minister down. Lakini sishangai sana kwani hapo ndipo nchi imefikishwa. Ukikuta kuna uozo katika ngazi ya ukuu wa nchi then what do you expect katika lower levels....!! Hakuna tena rolemodels wa utandaji uliotukuka . Hata hivyo ziko spot ambazo bado zinashine katika hospitali zetu ingawa sio institutional bali ni individuals . Hofu yangu zisije nazo zikaambukizwa halafu ikawa kaput.
 
[font=&quot]issue ya huduma za hospitali tanzania ni scandal. Nashangaa watu hawajaishtukia kiukweli. Ukiugua siku hizi ni very risky kwa sababu hakuna uhakika wa kupata tiba sahihi hata kama una hela za kuhonga watoa huduma. Watoa huduma ni wachache na wengi wao ujuzi wao unatia mashaka na utendaji wao ni wa ubabaishaji. Kukosa gauze msd hakuna anayekosa usingizi from the minister down. Lakini sishangai sana kwani hapo ndipo nchi imefikishwa. Ukikuta kuna uozo katika ngazi ya ukuu wa nchi then what do you expect katika lower levels....!! Hakuna tena rolemodels wa utandaji uliotukuka . Hata hivyo ziko spot ambazo bado zinashine katika hospitali zetu ingawa sio institutional bali ni individuals . Hofu yangu zisije nazo zikaambukizwa halafu ikawa kaput.[/font]

propaganda......

Back
Top Bottom