GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Habari wanajamvi, siku mbili zilizopita nilienda katika hospitali ya wilaya Tandahimba.
Nina tatizo ambalo linahitaji upasuaji mdogo lakini nilipofika nikaambiwa sitaweza kufanyiwa kwani hospitali haina GAUZE, daktari akaongeza kuwa hili ni tatizo la nchi nzima kwani hata huko MSD zimeisha.
Hivi ni kweli tumefikia hapa? naomba mnifahamishe wanajamvi kama maeneo mengine kuna tatizo kama hili.