BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kila nikifikiria kwamba Israel leo ni taifa kamili na huru ila Palestina sio taifa kamili naamini duniani kuna fitna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel hataruhusu vikundi vya wahuni kujenga himaya katika ardhi yake.Palestina Ingekua na jeshi unadhani israel angethubutu kuingia kichwa kichwa!!
Israel hataruhusu vikundi vya wahuni kujenga himaya katika ardhi yake
Hawa walikimbia mapigano kati ya wapiganaji wa kiyahudi (Hagannah,Irgun,Lehi) na waarabu?Palestine fleeing war in 1948..
View attachment 1667289
View attachment 1667290
View attachment 1667291
View attachment 1667294
Kabla ya israel kujitangazia uhuru.Hawa walikimbia mapigano kati ya wapiganaji wa kiyahudi (Hagannah,Irgun,Lehi) na waarabu?
Au walikimbia baada ya taifa la Israel kuundwa mwaka 1948?
Lakini wanadai hiyo ardhi mungu aliwapa..Hana uhalali wa kujenga ardhi isiyo yake, acheni kumtetea bwana.
Hata mm nimeshangaa Palestine iwe na jeshi! Nchi inakuwa ndani ya nchi sawa na Zanzibar iwe na jeshi hayo yatakuwa maajabu ya duniaUngeanza kwa kuuliza kwanza kama Palestina ni nchi.
Hicho ni kikundi cha kigaidi mkuuNakumbuka kuna kitu kilikuwa kinaitwa -PLA-Palestine Liberation Army kikiwa sambamba na PLO kiliishia wapi kama hawana jeshi
Palestine sio nchi na haitowahi kuwa nchiSasa mbona wanataka kuwepo mataifa mawili hapo yaani taifa la Israel na taifa la Palestina?
Ina maana hawa jamaa (Palestina) sio taifa?
Palestine sio nchi na haitowahi kuwa nchi
AiseeWapalestina/waarabu ni damu za kiafrica na kizungu. Ila hawatutaki sisi eti ni maskini.
Palestine ina maana nyingi,,maana inajumuisha hadi israel,kwani kabla ya 1948 iliijulikana kama palestine ikiwa chini ya udhamini wa Uingereza,,yaani umoja wa mataifa baada ya vita vya pili vya dunia iliipa uingereza kwa niaba yake ili kuitawala kabla ya kupata uhuru,
So raia wa wa palestine wenye asili ya kiyahudi(palestine jews? Wakaanzisha mapambano ya kujitenga na hatimae kujitangazia uhuru 1948, ndiposa pakaweko na israel ndani ya eneo la palestine,
Hii ilipelekea waarabu waliokuwa wakiishi maeneo hayo wajulikane rasmi sasa kama wapalestine,yaani wakazi wa palestine,
Palestiner ya leo imegawika sehemu kuu 2,
Western bank na gaza,,
Western bank wana jeshi la polis,,
Gaza wana jeshi lao la Hamas,
Wapalestine wa israel,walioko miji ya jerusalem,nazaret,bethelehem wanajulikana kama israel arabs

Yes!
Ni Mungu aliwapa kwa sababu waliopewa kihalali waliikataa nchi na walipinga kumtumikia Mungu. Wakamhasi Mungu! Wakafanya ibada za sanamu.
Sasa Mungu afanyeje?
na onyo aliwapa hao waliomuhasi kuwa namnukuu
"Mkinihasi nitanyanyua hata mawe yaniabudu" ndo hao walionyanyuliwa na Mungu na kweli sehemu zote za kumbukumbu ya Mungu zimetunzwa mpaka leo toka Yesu anazaliwa.
Mipalestina ilikosea kuleta uislamu tuuu! Ikasahau sehemu nyeti km hizi za bethlehemu!
Ivo msiwaonee wivu babu zenu walishindwa vibaya kumtii Mungu ndo maana mnalia leo na mtalia sana!! Cha moto mtakiona
Mungu Alisema hamtarudi tena pale kwa nchi ya asali na maziwa kabla hajakuja. Aliwapa mkashiba mkamnyea!
Akawatupa utumwani mpaka leo mlio wengi hamjitambui. Nyie ni nani!!! Mnaamini mmetokana na nyani. Na bado!!!
Sisi tunaojua kidogo Mungu ametupa wepesi na unafuu wa maisha km hivi make tumesha jua na kutubu walio fanya babu zetu. tatizo ni nyie milipuko!
Mkuu kwenye "kuhasi" una maanisha kile kitendo cha kuzihujumu korodani za mnyama? Kama ndivyo hao unaowaongelea waliwezaje kumuhasi mungu! Naye anakuwaga nazo?Yes!
Ni Mungu aliwapa kwa sababu waliopewa kihalali waliikataa nchi na walipinga kumtumikia Mungu. Wakamhasi Mungu! Wakafanya ibada za sanamu.
Sasa Mungu afanyeje?
na onyo aliwapa hao waliomuhasi kuwa namnukuu
"Mkinihasi nitanyanyua hata mawe yaniabudu" ndo hao walionyanyuliwa na Mungu na kweli sehemu zote za kumbukumbu ya Mungu zimetunzwa mpaka leo toka Yesu anazaliwa.
Mipalestina ilikosea kuleta uislamu tuuu! Ikasahau sehemu nyeti km hizi za bethlehemu!
Ivo msiwaonee wivu babu zenu walishindwa vibaya kumtii Mungu ndo maana mnalia leo na mtalia sana!! Cha moto mtakiona
Mungu Alisema hamtarudi tena pale kwa nchi ya asali na maziwa kabla hajakuja. Aliwapa mkashiba mkamnyea!
Akawatupa utumwani mpaka leo mlio wengi hamjitambui. Nyie ni nani!!! Mnaamini mmetokana na nyani. Na bado!!!
Sisi tunaojua kidogo Mungu ametupa wepesi na unafuu wa maisha km hivi make tumesha jua na kutubu walio fanya babu zetu. tatizo ni nyie milipuko!
Sasa kwanini hao Hamas wasitanuke hadi huko Westbank wakati ni Palestina yote?Gaza ndio hakuna jeshi la Israel, West Bank ipo occupied na majeshi ya Israel tangu mwaka 1967.
We unadhani Israel ingewezaje kujenga makazi West Bank kama isingekuwa ime control karibu eneo lote na jeshi?
Israel ina expand taratibu na lengo ni kuimeza West Bank yote, na ndio maana two state solution ni kizungumkuti sababu Israel haitaki kuachia West Bank
AiseeMkuu kwenye "kuhasi" una maanisha kile kitendo cha kuzihujumu korodani za mnyama? Kama ndivyo hao unaowaongelea waliwezaje kumuhasi mungu! Naye anakuwaga nazo?
Umeanza kupayuka ovyoWaislamu %17 israel
Wakristo %2 israel,, hamshtuki tu!!!!! Why waislamu ni wengi kuliko wakristo?
Halafu miyahudi miyeusi mnakuja kumtetea huyu hayawani,,,pamoja na kumkana Mungu wenu feki/Yesu, na kutoutambua ukristo wenu na ictoshe akasulubiwa na still mnawakingia kifua dhidi ya wapalestina. Akili za kipumbafu hizi. Badilikeni