Hivi ni kweli pilipili ni dawa ya kupunguza kujamba?

Hivi ni kweli pilipili ni dawa ya kupunguza kujamba?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Habari wana JF.

Jana bana nilienda ugenini kusalimia, tukachoma na kula nyama pori sana sasa balaa lei nimeamka najamba sana halafu mashuzi yananuka, kuna mwamba hapa kanishauri eti nice pilipili ili kujamba kuishe.

Je ni kweli pilipili inapunguza kujamba?
 
[ n
QUOTE="Isenye, post: 52774577, member: 791252"]
Unaachia mabomu au ni vile vijambo vya kimya kimya?
[/QUOTE]
Nikiwa mwenyewe naachia mabomu,nikiwa na watu ni vile vya kimya kimya na vinanuka balaa
 
Habari wana jf.
Jana bana nilienda ugenini kusalimia,tukachoma na kula nyama pori sana.sasa balaa lei nimeamka najamba sana halafu mashuzi yananuka,kuna mwamba hapa kanishauri eti nice pilipili ili kujamba kuishe.
Je ni kweli pilipili inapunguza kujamba?
unakula pilipili, muziki wake unaulewa lakini? Unataka kuzuia kujamba kwa kula pilipili utajikuta umezua tatizo jingine la kushindwa kunya
 
Kula uje kunya kama kanjibai.anakunya huku ana bonge la barafu kwa ajiri ya kupooza yas maana huwa inawaka moto sababu ya pilipili wakati wa ku puuuu puuuu
 
Alikosea kukuelekeza, ilitakiwa uisugulie huko kunakotoka ushuzi.

Nini kujamba, hata kunya usingekunya tena.
 
Habari wana JF.

Jana bana nilienda ugenini kusalimia, tukachoma na kula nyama pori sana sasa balaa lei nimeamka najamba sana halafu mashuzi yananuka, kuna mwamba hapa kanishauri eti nice pilipili ili kujamba kuishe.

Je ni kweli pilipili inapunguza kujamba?
Huyo mwamba anakutega! Pilipili si itafanya ujambe kwa moto sasa? Utageuza nyumba kuwa kambi ya gesi! Kunywa maji tu, bro!
 
Back
Top Bottom