Kunywa maji mengiHabari wana JF.
Jana bana nilienda ugenini kusalimia, tukachoma na kula nyama pori sana sasa balaa lei nimeamka najamba sana halafu mashuzi yananuka, kuna mwamba hapa kanishauri eti nice pilipili ili kujamba kuishe.
Je ni kweli pilipili inapunguza kujamba?